Huyu dada ajengewe sanamu lake

Ulisoma sentence ya kwanza ya ile comment yangu ya mwanzo au ulikuwa tu tayari kunipinga?

Nilizungumzia kitu kimoja na hao, na nikasema root cause yake.

Mimi siamini katika kubadili dunia kwa ghafla, sisi feminists bado hatujafanikiwa hata robo kwanini unadhani you can weight your shoulder into changing the society, you alone? Jamii inaona hili kama tatizo? Apart from zamaradi, baba levo, wewe na wengine wachache .

Uliniudhi kuplay gender card, kuna mtu nilimkataza, mimi ni feminist , kama unadhani nawa pinga wanawake kwasababu ya uanawake wao then unakosea by 100, in most cases natetea wanawake na kuwa hold accountable kwenye makosa, ndio maana nilijibu Haya kama masihara, again hili sio la muhimu kwasasa.
 
Mwanaume haipendezi kuonewa huruma. Ukipenda kuonewa huruma hapo kuna namna
 
Ulisoma sentence ya kwanza ya ile comment yangu ya mwanzo au ulikuwa tu tayari kunipinga?

Nilizungumzia kitu kimoja na hao, na nikasema root cause yake.
Yap, ulianza vizuri sana. Ila cha kushangaza ile patriarchy uloisema pia nilikwambia it's a misconception!

Ya kuwa kama ni mfumo dume mbona ilikua zamani Enzi za Mababu zettu 30 yrs back but by looking upon them wao ndo ilikua angalau kuliko leo... Leo usawa umeanza kumesh na society na ndo mambo uamezidii kuharibika.

Usawa mnaopigania ndo the source cha haya yote not patriarchy as most people misconstrued.

Kama huamini ni wewe uliye complacent.. Unafikiri Lisu angekuwa na mentality hii uchafu wa CCM ungejulikana huko mbele, unafikiri bila yeye kujitoa muhanga vita ya ukombozi ingekuwepo leo, unafikiri wa Tanzania wange Pata guts za kuandamana?

Sometimes watu hawa hawa wanao push na kuzomewa na watu wajinga ndo hugeuka kuleta impact... So don't underestimate the power of individual impact, it always compounds..

Jamii huwa inaamshwa na watu, na watu wenyewe ndo hao mnao wazomea, Zamaradi, baba levo, mimi humu, na wengine but we don't give a damn.

If we don't play gender cards how is it gonna be solved? Like how, hapo ndo utapotea tena bila majibu kama kawaida yako

Una jibu kama masihara? Unajua why? Because it feeds the Godamn ego. Periodt.

Imagine just supporting zamaradi a woman who thrived despite hate Kwan si kila mtu anamadhaifu? Sijui alifanyaje before ila idgaf.
 
Wewe utakuwa na matatizo kwenye familia yako, mahusiano uliyonayo au kama umeoa basi kwenye ndoa yako!!! Siyo kwa comments unazotoa!!! Siyo bure!!!!
 

binti kiziwi essentially shared your perspective ila huwezi elewa hadi uwezeshwe ndo maana unakimbilia matusi tu. Wewe hakika una changamoto ya akili na inabidi uwezeshwe na utetewe.
 
binti kiziwi essentially shared your perspective ila huwezi elewa hadi uwezeshwe ndo maana unakimbilia matusi tu. Wewe hakika una changamoto ya akili na inabidi uwezeshwe na utetewe.
HIvi unajielewa kabisa wewe? Binti kiziwi kanielewa vizuri sana, ila wewe matako yako yanafata upepo kama anko T. foolish
 
Wanaume kila siku humu huwa mnajinasibu kuwa mna nguvu, mna pesa, mna maamuzi, ndiyo vichwa vya familia na mna akili kuliko wanawake na wanawake ni kiumbe dhaifu. Haya kulikoni mnataka mtetewe na kuonewa huruma????!!!!!

Huo utetezi na kuonewa huruma mnautaka kutoka kwa nani?
 
Unfortunately, tunapoelekea, sifa ya encouraging figure inazidi kufutika.

Wengi wamekariri kwamba mwanamke lazima awe independent kwa kupambana na mwanaume badala ya kusupport vision ya mwanaume.
Na hapo ndo walipo chezewa akili
 
Wako triggered mkuu
Usijichoshe kuwaelezea
 
Ana changamoto ya akili huyu.
Kabisa!!! binti kiziwi alimjibu vizuri sana akaelezea jinsi Mfumo Dume yaani Patriarchy ilivyofanya mwanaume anaonekana ana nguvu ya pesa, nguvu ya maamuzi, nguvu ya kimwili, yuko juu kwenye kila kitu yaani kisiasa, kijamii, kiuchumi, kifamilia yaani yuko juu kwenye kila kitu!!!!

Sasa leo huyo mwanaume anataka atetewe na kuonewa huruma na nani?

Lakini mtoa mada de Gunner ameenda kumkandia na kuandika vitu vingine kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…