Hata Bible imesema mwanamke atavunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe. Nurture sio huruma ni care, malezi, pamoja na kuwa kiungo bora for the betterment of the family. Sasa hiyo haipo katika zama hizi za feminismHuruma ni moja wapo ila utapewa ile huruma ya kutiwa moyo tu, kupewa msaada ni mara chache.
Inatosha.Wewe umesema
Mkuu uje umewapa kichwa sana hawa, ila laiti ungejua how jamii inaangamia kwa mwanaume kuwa prey hata usinge andikaWanaume hatuhitaji hizo favor, acha tupambane na hali zetu, mwanaume hahitaji kutambuliwa, yeye utambulisho wake upo bila kuomba kutambuliwa...
Matendo yanasema
🙏🙏Wanawake wanatupigia kwenye kibwagizo kiitwacho "Mali kwa ajili ya watoto"
Kana kwamba yeye wakati anazaliwa alikuta kajengewa nyumba au mali za kutosha akaanza kutumia,kumbe alihitaji mwanamme amtengenezee life!
Ni kana kwamba wanawake wamezaa walemavu au mapooza ambayo hayawezi kitafuta Hadi watafutiwe kila kitu!
Kumbe ni tamaa zao na ubinafsi wa umiliki wakisingizia watoto kana kwamba hai ni walemavu hawawezi tafuta!
Hatubishani nao tunawaacha nazo tu na kusonga mbele coz Mungu mwenyezi hatunyimi sisi wanaume akili za utafutaji!!
Hao wanawake hiyo sex wanafanya peke yao? Wanalazimisha? Au una maana gani?Tatizo ni utegemezi (Tanzania, watu 8 kati ya 10 ni tegemezi) na pia commercialization ya sex inayofanywa na wanawake imekuwa janga kubwa sana.
Umechanganya na Zumaridi. Ni watu wawili tofauti.Sanamu mjengee tu hapo kwenu, Zamaradi si ni yule kichaa anayejiita mfalme? Umeona wapi mwanamke mfalme? Huyo anaweza kumshauri labda mwehu tu
Wewe na trauma zako ambazo unafikia hatua mpk unakimbia unahisi tunataka huruma?Mwanaume unajionea huruma mwenyewe tu. Baada ya kazi unajinunulia pande lako la mbuzi na bia!
Watu kukuonea huruma ni mpaka watake, usiwaalike kabisa.
Nafikiri hata hao wa zamani hawakuonewa huruma.
Sema ni vizuri, na wewe huruma yako usiitoe kirahisi rahisi!
You are wrong in so many ways, halafu sijui nani atakuja kukwambia usikilize, siambiliki you are.Wewe na trauma zako ambazo unafikia hatua mpk unakimbia unahisi tunataka huruma?
Nani alisema zamani Kulikua na maisha ya namna hii, au wewe ni Gen z unalelewa na singo mama, hupati fatherly love so unaishia kuona wanaume wenzako takataka?
Hebu Ifike hatua mwanaume simama, simamia mental health yako na usiwe boya kukubaliana na mpasuko ulipo sasa.
Nahisi kama sijaelewa mada hivi, nimekurupuka.Wewe na trauma zako ambazo unafikia hatua mpk unakimbia unahisi tunataka huruma?
Nani alisema zamani Kulikua na maisha ya namna hii, au wewe ni Gen z unalelewa na singo mama, hupati fatherly love so unaishia kuona wanaume wenzako takataka?
Hebu Ifike hatua mwanaume simama, simamia mental health yako na usiwe boya kukubaliana na mpasuko ulipo sasa.
Wewe pia si nimekujibu comment yako ukasema yaha then mkaanza mizaa? Na kama niko wrong mbona huoneshi ni wapi?You are wrong in so many ways, halafu sijui nani atakuja kukwambia usikilize, siambiliki you are.
We don’t use people’s info against them, kuwa mstaarabu.
Kwanini huu uzi umekufanya umekuwa emotional hivyo?
Na sijatumia info ya mtuu hapoo, nimeongea pattern iliyopo.You are wrong in so many ways, halafu sijui nani atakuja kukwambia usikilize, siambiliki you are.
We don’t use people’s info against them, kuwa mstaarabu.
Kwanini huu uzi umekufanya umekuwa emotional hivyo?
Hamna mkuu, ulielewa ila ulikuja na mawazo hasi, huwezi kuwa complacent eti wanaume tumeshazoe?Nahisi kama sijaelewa mada hivi, nimekurupuka.
Nitakuwa makini siku nyingine.
No sizingumzii wrong huko kwingine , nazungumzia comment uliyomjibu Mshamba Hachekwi.Wewe pia si nimekujibu comment yako ukasema yaha then mkaanza mizaa? Na kama niko wrong mbona huoneshi ni wapi?
Weak na toxic masculinity zinakaa sehemu moja? nielewesheWanaume wote wanaokuja kupinga hapa wanapaswa wapewe dawa wanao stahiki maana ndo hawa wana chochea ujinga.. (weak and toxic masculinity)
Zamani nilikuwa namwambiaga Natafuta Ajira “We don’t make rules , they do…. “. Na wewe nakwambia unataka ubadili jamii? ni ngumu yesu mwenyewe hakuweza. Kuvunja mfumo sio kazi rahisi inahitaji nguvu ya jamii collectively na interventions za serikali/sheria, sasa jiulize serikali ina maslahi gani kwa hili? kama haina haitofanya kitu.Umenifanya emotional because siwezi vumilia watu wanakuwa complacent kukubali ujinga
Umeelewa vizuri tu, ila kujadili na Gunner inatakiwa unywe maji na mbege pembeni.Nahisi kama sijaelewa mada hivi, nimekurupuka.
Nitakuwa makini siku nyingine.
Noo, nothing serious nilitoa kama mfano kuonesha anacho Fanya anakosea, sikumlenga yeye na sijui kuhusu his personal life as hakuniambia.No sizingumzii wrong huko kwingine , nazungumzia comment uliyomjibu Mshamba Hachekwi.
Mizaha huwa tunafanya kusave eneji.
Weak=no boundariesWeak na toxic masculinity zinakaa sehemu moja? nieleweshe
Stop thinking that God or some higher forces is coming acha kuwa complacent kama unajua mpasuko the change starts now by changing minds. That's how Martin j Luther King did by just a simple act of giving a speech na hata baba levo na zamaradi wamefanya ivyoZamani nilikuwa namwambiaga Natafuta Ajira “We don’t make rules , they do…. “. Na wewe nakwambia unataka ubadili jamii? ni ngumu yesu mwenyewe hakuweza. Kuvunja mfumo sio kazi rahisi inahitaji nguvu ya jamii collectively na interventions za serikali/sheria, sasa jiulize serikali ina maslahi gani kwa hili? kama haina haitofanya kitu.