Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,050
Kwasababu sisi tumeamua kuwa ombaomba daima milele amina. Hata professor wa physics anazungumza kama layman yani ni siasa kwa kwenda mbele.Nataka tujiulize, kwanini hakuna nchi hata moja ya Afrika Mashariki yenye ujuzi wa mambo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujawekeza kwenye elimu na hatuna roadmap ya muda mrefu. China has a plan for africa but africa has no plan for itself 🤣🤣