Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,185
- 8,453
nato walikimbizwa mchakamchaka huko afghanistan arafu leo wakamchokoze mrusi aisee
Hujui mkuu, China kawekeza popote duniani mpka Marekani wanatumia bidhaa zake.Tatizo mchina tayari ana jina baya kuhusu bidhaa zake, hili ni tatizo kubwa hivyo hawazi kuwa mshindani hatari kwa Marekani.
Singapore atukusikia embu tujulishe mdau wetuNchi maskini ndiyo zinaiwaza china kwenye usuperpower? Bloombergy imeitabili kufikia 2050, hope unaifahamu bloombergy, kuna analyst wengine wanaitabili kufikia 2030 itakuwa ndiyo nchi yenye ukwasi zaidi.
Huo mfumo wa uongozi unaoukandia, ndiyo umeitoa ilipo ambapo wanadai miaka ya 60 ilikuwa kundi na sisi leo ni ya pili kwa uchumi duniani. Sasa unasemaje ni mfumo mbovu mbovu?
State controlled economy imeifikisha hapo. Wakati covid imeathiri uchumi wa US, wa china umekua. Serikali inaweza kucontrol kila aspect ya maisha ya wananchi china.
Hii no advantage kwao katoka kuset ukuaji wao wa kiuchumi.
Narudia, siyo nchi maskini zinazosema china inakua kwa kasi, bali ni world bank, bloombergy and et el.
Ela anayomwaga mchina pale asia na africa siyo mchezo.
Ulisikia alichokifanya pale singapore?
Umenichekesha apa kwamba sio wanavamaia mashamba ya wakulima kule mvomeroPutin kagoma kuvamia Ukraine?.
Urusi inatia presha Ukraine isijiunge na NATO na sio kwamba anavamia tu kama Mmasai anavyovamia mashamba ya wakulima.
Ngoja tuone ni nini kitatokea endepo Ukraine itajiunga na NATO.
Singapore ilijenga natural man island pale, kwa ajili ya makazi na mahoteli. Mchina kakinunua hicho kisiwa chilote, siyo serikali bali raia wa china ndiyo walionunua karibu nyumba zote pale kisiwani. Ikaonekana kama vile ni china town in singapore maana sasa kola kitu pale kikawa china china. Wazawa wa singapore hawakuwa na uwezo wa kuafford kununua makazi mle. Mwisho ilibidi serikali ibandon hiyo project ya hicho kisiwa.Singapore atukusikia embu tujulishe mdau wetu
Sio kweli haya. Marekani mwenye technology ya kila kitu atingishwe na urusiRussia ana uwezo wa kufanya lolote na akatimiza!
Ni taifa lenye nguvu kijeshi na silaha zenye ufanisi kuliko lolote duniani.
✓Alafu na ile ishu ya Nord String 2 ya Germany. Kuna watu mna madini umu hatari sanaSingapore ilijenga natural man island pale, kwa ajili ya makazi na mahoteli. Mchina kakinunua hicho kisiwa chilote, siyo serikali bali raia wa china ndiyo walionunua karibu nyumba zote pale kisiwani. Ikaonekana kama vile ni china town in singapore maana sasa kola kitu pale kikawa china china. Wazawa wa singapore hawakuwa na uwezo wa kuafford kununua makazi mle. Mwisho ilibidi serikali ibandon hiyo project ya hicho kisiwa.
Huko Asia Mchina anawavuruga sana maana ana mapesa anayamwaga mwaga tu kila anakojisikia.
Personally mchina namuona ni worse sana kuliko wazungu japo wote wanyonyaji ila mchina ni mnyonyaji zaidi ya kupe. Sema it seems now ni unstoppable.
Unaichuliaje Russia mkuu?Sio kweli haya. Marekani mwenye technology ya kila kitu atingishwe na urusi
Ni wanyonyaji kweli kweli kabisaWewe sasa ndo zuzu kabisa, kuwa wa kwanza kuunda vitu haimanishi huwezi kupitwa, china ashaanza unda ndege za abiria ila mpaka upewe kibali cha kuanza kuziuza kwa ajili ya usafirishaji kuna mchakato unapita, na unachukua miaka.
Ndehe za kivita ndo sasa katoa generation ya ndege zake ambazo wanasema ni superior kuliko hata ndege za kirusi.
China ndiyo nchi pekee duniani inayomiliki space station.
Ukitoa Marekani, na Urusi, China ndiyo one man show aliyeshusha vifaa mars. Hizo nchi za ulaya wana agency ya anga moja wanashirikiana.
Space station nyingine wanashirikiana russia, US, na nchi za ulaya.
Kwa roho mbaya ya marekani akataka wasimpe ruhusa china kuitumia hiyo space station, mchina akaona isiwe tabu ngoja nitengeneze yangu, na anayo na anazidi kuitanua iwe the biggest station huko angani.
Steve jobs aliwahi kuulizwa kwanini wanapenda kufanyia production china, jibu lake lilikuwa china ndo nchi ambayo ukitaka skilled labor ya watu wanaojua kitu flani, watajaa stadium, wakati US hawajai hata meza.
Speed ya China ya mabadiliko katika muda mfupi inatisha ni mabadiliko ya muda mfupi sana.
China ndiye mwenye train zenye speed kuliko train ya nchi yoyote, nadhan unajua kuhusu maglev technology, train inayoelea kwenye reli na kukimbia speed ya bullet.
US sasa anaigopa china ndo maana anahangaika na vikwazo kuipunguza speed navyo vina matokeo ya muda mfupi.
Huawei baada ya kuwekewa vikwazo, soon wanataka kuanza kuzalisha vifaa wenyewe kwa ajili ya electronics.
Kuna kampuni inadeal na mambo ya quantum computing mwaka jana imepata breakthrough, US kwa uoga kuwa ikifanikiwa inaweza hack na kubreak security zake kaipga vikwazo wakati ana makampuni kibao yanafanya research ya quantum computing.
Bado silaha, kala mfuatiliaji mwishoni mwa mwaka jana katest kifaa kikaenda into space kikarudi kwa speed kali sana lakini bado kikawa maneuvered kutua. Wataalam wa US wakashangaa maana hawana kifaa kama hicho, kifaa chochote kikiwa kwenye high speed from space kwenye reentry huwezi kukimaneuver kwa technology walionayo, iliwashangaza mchina kufanya hivyo. Na walikuwa hawajui ni kifaa cha kubeba wanaanga au silaha.
Baadae wanakuja kugundua ni kwa ajili ya vyote, inaweza tumika kubeba silaha au ikatumika kama rocket ya kupeleka vtu space.
Mchina anatengeneza drones, tena advanced drones za ulinzi.
It is a matter of time wale jamaa ni unstoppable.
Nawaogopa sana maana wakishakaa pale top kabisa wakatulia hii dunia itapata shida sana maana ni wanyonyaji haswa.
Urusi haogopwi bali wao wanaanza NATO wanaanza kwa diplomasia ikishindikana vita kamiliSwali la msingi ni kwa nini ulaya yote wanamuogopa Mrusi
Nafahamu kuliko unavyofahamu.Hujui mkuu, China kawekeza popote duniani mpka Marekani wanatumia bidhaa zake.
Mkuu pale hakuna vita vya silaha bali kuna vita vya kisaikologia!Mrussi mpk sas ameweka wanajeshi laki Moja mpka wa uraine na urusi pmj na vifaru vizito za kijeahi kana kwamba muda wowte atamvamia .naona Vita vikubwaa vinaenda kuibuka na ss watu wabadi tutateseka Sana Africa mnk tuko tuko tu ilimradi
Wee kiazi kweli dunia saivi unapata bidhaa yoyote sema ubora ndyo tofautii na yote ni katika kuliweka soko katika makundi mchina angefata jinsi biashara za ulaya na marekani zinavyokwenda kwenye uzalishaji asingekuwa apa alipo Africa na nchi nyingi za Asia zimepata inafuu WA bidhaa baada ya mchina kufanya uzalishaji wenye tija Kwa kila ngazi ya kiuchumi kama umeanza kutumia simu miaka ya 1999 Hadi 2000 naisi wajua gharama za simu, nguo viatu zilivyokuwa na sasa Hali ikojeNafahamu kuliko unavyofahamu.
Shida ya mchina anachanganya bidhaa hafifu na bora, angekuwa na std moja angetoboa.
Lakini kwa mseto huu kibiashara ni kifo.
Asante kiazi mwenzanguWee kiazi kweli dunia saivi unapata bidhaa yoyote sema ubora ndyo tofautii na yote ni katika kuliweka soko katika makundi mchina angefata jinsi biashara za ulaya na marekani zinavyokwenda kwenye uzalishaji asingekuwa apa alipo Africa na nchi nyingi za Asia zimepata inafuu WA bidhaa baada ya mchina kufanya uzalishaji wenye tija Kwa kila ngazi ya kiuchumi kama umeanza kutumia simu miaka ya 1999 Hadi 2000 naisi wajua gharama za simu, nguo viatu zilivyokuwa na sasa Hali ikoje
Unafuu usio na ubora ni ghali zaidi mtumishiWee kiazi kweli dunia saivi unapata bidhaa yoyote sema ubora ndyo tofautii na yote ni katika kuliweka soko katika makundi mchina angefata jinsi biashara za ulaya na marekani zinavyokwenda kwenye uzalishaji asingekuwa apa alipo Africa na nchi nyingi za Asia zimepata inafuu WA bidhaa baada ya mchina kufanya uzalishaji wenye tija Kwa kila ngazi ya kiuchumi kama umeanza kutumia simu miaka ya 1999 Hadi 2000 naisi wajua gharama za simu, nguo viatu zilivyokuwa na sasa Hali ikoje
Mkuu hii sijaijua ila serikali ya Ujerumani imeanza kuogopa kuhusu China kutumia pesa kwa kigezo cha uwekezaji kupitia makampuni ya kuchina na kuwekeza kwenye makampuni ya kijerumani.✓Alafu na ile ishu ya Nord String 2 ya Germany. Kuna watu mna madini umu hatari sana
Sasa mbona unarudi kulekule.... siku china ikiwa na kauli USA and Europe ni ndani ya dakika tu mwenye dunia yake anashuka kuchukua wateuleSingapore ilijenga natural man island pale, kwa ajili ya makazi na mahoteli. Mchina kakinunua hicho kisiwa chilote, siyo serikali bali raia wa china ndiyo walionunua karibu nyumba zote pale kisiwani. Ikaonekana kama vile ni china town in singapore maana sasa kola kitu pale kikawa china china. Wazawa wa singapore hawakuwa na uwezo wa kuafford kununua makazi mle. Mwisho ilibidi serikali ibandon hiyo project ya hicho kisiwa.
Huko Asia Mchina anawavuruga sana maana ana mapesa anayamwaga mwaga tu kila anakojisikia.
Personally mchina namuona ni worse sana kuliko wazungu japo wote wanyonyaji ila mchina ni mnyonyaji zaidi ya kupe. Sema it seems now ni unstoppable.