BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,059
- 10,522
China apewe tu heshima yake kwa anayoyafanya, bado ataendelea kutesa na sio mbele ya Marekani bali duniani koteAna jina baya wapi? Umesahau kuwa electronics za majumbani za US zilikuwa manifactured China, China ana labor power ambayo ni skilled ndo maana hata makampuni mengi ya marekani ya prefer production ifanyike china.
Leo, imetoka report ya kitengo cha upelelezi cha germany ikisema kuwa hakuna ushahidi wowote kuwa simu za xiomi zinadukua mawasiliano ya watu.
Marekani ana propaganda tu kaona mchina anataka mpiku kaanza propaganda za kumchafua, kwani yeye hadukui watu?