Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

wewe unajua historia ila unakurupuka kwenye hoja zako sasa ushasema kama Alaska iliuzwa kwamba sasa rebagain hapo inahitajia nguvu au makubaliano CRIMEA iliuzwa lini na UKRAINE kuelekea RUSSIA yaani UKRAINE inaihitaji zaidi CRMEA kutoka RUSSIA sababu ilivamiwa kuliko RUSSIA inavyoihitajia ALASKA sababu wao waliiuza
unapoints sana ila unakurupuka kuuza ALASKA bwana RUSSIA wala hawakulazimishwa inasemekana hali ya KIUCHUMI ndio ilipelekea wakaiuza sasa CRIMEA iliuzwa nanani"

Eti nakurupuka!!!---- msingi wa hoja ni; je Amerika inaiweza Russia kijeshi??!!, mimi nasema inaiweza lakini katika kuiweza lazima America italipa gharama kubwa sana kama watapigana (It is gonna pay the cost dearly) katika hili nyinyi mnabisha, sasa ili America iweze kupigana na Russia ni lazima iwepp sababu ya moja kwa moja, mfano Ukraine ilikuwa na sababu ya moja kwa moja kupigana na Russia baada ya Russia kuimega Crimea ndio maana nikasema Russia inaweza kuamua ku re bargain juu ya Alaska ili Waamerika wailipe zaidi Russia, ni kitu ambacho hakiwezekani kwa America kukubali re bargain hapo sasa ndio chokochoko ya moja kwa moja inaweza kuanza na tukaiona vita, angalia; ni kazi ngumu kumega kipande cha nchi nyingine kwa nguvu na kudai ni mali yako kuliko kudai madai juu ya kipande cha ardhi ulichoiuzia nchi nyingine, point yangu ilikuwa ni hiyo.
 
Ana jina baya wapi? Umesahau kuwa electronics za majumbani za US zilikuwa manifactured China, China ana labor power ambayo ni skilled ndo maana hata makampuni mengi ya marekani ya prefer production ifanyike china.
Leo, imetoka report ya kitengo cha upelelezi cha germany ikisema kuwa hakuna ushahidi wowote kuwa simu za xiomi zinadukua mawasiliano ya watu.
Marekani ana propaganda tu kaona mchina anataka mpiku kaanza propaganda za kumchafua, kwani yeye hadukui watu?
Zinadhalishwa China na makampuni ya nchi gani kama siyo makampuni makubya ya USA?
 
Kwasababu wana skilled labor.
Hebu kasome hii habari ya newyork times ndo ujue kuwa Marekani hamchukulii mchina kawaida kabisa
Tena ni habari ya jana.
 
Brother unapaswa kuelewa kwanza history ya Japan kutaka kui-outcompete USA economically iliishiwa wapi? na je USA new industrial policy ya kui-outcompete China outcome yake ni nn? Itakusaidia kupata comprehensive over view ya the next outcome ya hii heavy competition ambayo itatokea next. USA siyo mpumbavu hasa kuondoka Afganistan na ku-form Quad alliance na Japan, India, Australia, and Uk. pamoja na other security and economic alliances against China.
 
Mchina siyo mjapan. Kasome the lost decade of Japan utaelewa kilichoikumba Japan toka miaka ya 90 uchumi wa Japan umekuwa stagnant.
US kwasasa mchina anamsumbua sana sana. Kwenye kila kitu anamwaza mchina. Unaona hata ujenzi wa hicho kiwanda cha Intel unaona hata raisi wa US anamtaja mchina.
Hata aform alliance na nani still mchina anamsumbua.
 
Inaonekana kaka unaongea kishabiki sana, China wenyewe wako very worried na US policy direction kuhusiana na China and how those new targeted USA policy priorities zita-impact uchumi wao. USA government is the single biggest buyer in the world, remember that.

USICA integrates multiple China-targeted bills — the Endless Frontier Act, the Strategic Competition Act of 2021 and the Meeting the China Challenge Act among them — into one massive 2,276-page piece of legislation. It’s designed to preserve a competitive technological edge over China through the injection of tens of billions of taxpayer dollars for various initiatives, including U.S. semiconductor manufacturing and “buy American'' requirements for federally funded infrastructure projects.

Beijing has promised retaliation if the bill makes it through Congress but has not given specifics. China experts say those reprisals may include deliberate disruptions in imported parts’ supplies for U.S. manufacturers and curbs on Chinese purchases of U.S. exports. With supply chains already strained to the breaking point, Beijing’s response could test Biden and Chinese leader Xi Jinping’s resolve to create a less-rancorous U.S.-China relationship.
 
China anampa wasiwasi US ndo maana US anahangaika na China, kwanini hangaiki na India, au Singapore au nchi nyingine? Hata Russia anahangaika naye kwenye masuala ya jeshi. Ila China anampa wasiwasi kiuchumi, kiteknology, kisiasa yani kila kitu.
Kwasasa US ni china China China, kitu ambacho miaka 20 iliopita usingeweza kukisikia.
Na mbaya zaidi kampuni za US zinagitaji china kwa labor na kwa soko pia.
Sasa hivi US anatamani aipige block kila kampuni ya teknolojia anayoona inakuja kwa kasi toka china. Ni vita ya kiteknolojia na kiuchumi.
China ni unstoppable kwa sasa and the US knows that. Anajaribu kila hali kuifunga speed governor.
 
Swala la wasiwasi ni kawaida, hata MO anamwogopa mtengeneza maji wa kandoro sababu anampunguzia wateja, and that's natural.
 
Tutazeeka na vitukuu vyetu watazeeka lakini USA ataendelea kuwa superpower, Innoviations don't sustain under dictatorship regimes na ndo maana unaona China anapambana hata na viongozi wa Alibaba sababu tu ya kutoa mawazo binafsi,sasa ubunifu utakujaje 🤣 🤣 ?
 
Swala la wasiwasi ni kawaida, hata MO anamwogopa mtengeneza maji wa kandoro sababu anampunguzia wateja, and that's natural.
My point is, kama china ameweza kutoka huko alipotoka akapita uchumia wa makumi ya nchi na sasa ni nchi ya pili, tena ni ndani ya miaka kama 50 hivi, lazima US aogope.
Na yale anayoyafanya yako wazi, kiuchumi, kisiasa, kiteknolojia, na kila nyanja.
Tunaambiwa miaka ya 60 china alikuwa hajatofautiana aana na nchi nyingi za kiafrika. Ona alipo sasa, ni kitu gani kitamzuia huyo aliyebaki in 20 -30 years?
Marekani analijua hili ndo maana anajaribu block kila kitu. Uliona alivyoiban tik tok akasema kama vipi kampuni iuzwe kwa wamarekani? Now tik tok imeipata hata google kuwa mtandao unaotafutwa zaidi
 
Utazeeka na watukuu zako watazeeka lakini USA ataendelea kuwa superpower, Innoviations don't sustain under dictatorship regimes na ndo maana unaona China anapambana hata na viongozi wa Alibaba sababu tu ya kutoa mawazo binafsi,sasa ubunifu utakujaje 🤣 🤣 ?
Huo mfano wa innovations dont sustain under dictatorship regime unarefer wapi? Tupe case study hata moja
 
My point is, kama china ameweza kutoka huko alipotoka akapita uchumia wa makumi ya nchi na sasa ni nchi ya pili, tena ni ndani ya miaka kama 50 hivi, lazima US aogope.
Na yale anayoyafanya yako wazi, kiuchumi, kisiasa, kiteknolojia, na kila nyanja.
Tunaambiwa miaka ya 60 china alikuwa hajatofautiana aana na nchi nyingi za kiafrika. Ona alipo sasa, ni kitu gani kitamzuia huyo aliyebaki in 20 -30 years?
Marekani analijua hili ndo maana anajaribu block kila kitu. Uliona alivyoiban tik tok akasema kama vipi kampuni iuzwe kwa wamarekani? Now tik tok imeipata hata google kuwa mtandao unaotafutwa zaidi
China is still a developing nation ukumbuke, haifikii hata utajiri wa Japan au Germany 🤣 🤣 .Ni namba mbili yes, lakin kwenye nn?
 
Huo mfano wa innovations dont sustain under dictatorship regime unarefer wapi? Tupe case study hata moja
China, Russia and etc. Chinese zaidi ya wizi wa technology, copy and paste hana ubunifu wowote wa maana. Russia amebakia tu kutegemea gas and etc.
 
China is still a developing nation ukumbuke, haifikii hata utajiri wa Japan au Germany 🤣 🤣 .Ni namba mbili yes, lakin kwenye nn?
Developing nation ambayo inamtishia mpaka japan kijeshi? 🤣🤣🤣 Na wote walioizunguka? Mwaka juzi walitaka isiwe considered kama developing nation, china mwenye anapenda aendelee kuwa considered hivyo.
Kwahiyo superpower US anaogopa developing nation? Mpaka anaandaa bill ya kupambana na kadeveliping nation🤣🤣🤣
 
China, Russia and etc. Chinese zaidi ya wizi wa technology, copy and paste hana ubunifu wowote wa maana. Russia amebakia tu kutegemea gas and etc.
The end justifies the means, yes anacopy na kucopy kumemnufaisha.
Hata chombo kilichowachanganya marekani design alibuni mchina aliyekuwa anafanya akzi nasa wakaikataa aliporudi kwao akawapa sasa kimewatoa macho wamarekani.
 
Developing nation ambayo inamtishia mpaka japan kijeshi? 🤣🤣🤣 Na wote walioizunguka? Mwaka juzi walitaka isiwe considered kama developing nation, china mwenye anapenda aendelee kuwa considered hivyo.
Kwahiyo superpower US anaogopa developing nation? Mpaka anaandaa bill ya kupambana na kadeveliping nation🤣🤣🤣
My friend, kuelewa policy direction ya US inahitaji analysis pana mnoo, na siyo story za vijiweni. The guys are thinking 50 years and beyond.
 
The end justifies the means, yes anacopy na kucopy kumemnufaisha.
Hata chombo kilichowachanganya marekani design alibuni mchina aliyekuwa anafanya akzi nasa wakaikataa aliporudi kwao akawapa sasa kimewatoa macho wamarekani.
Thanks. Kwa hiyo una-justify uchumi wa China siyo innovative kama Marekani na kwamba hiyo design haiku-fit US future needs but China 🤣 🙌
 
Back
Top Bottom