Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa
Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito huwa nakaa ili kuuliza mwili na akili
Nafanya mazoezi mepesi kama kutembea, kunyoosha mwili (stretching), au mazoezi madogo ili kupunguza uchovu kisha naoga, nakula chakula na maji ya kutosha
Kisha nasikiliza muziki tulivu kupunguza mgandamizo wa mawazo pamoja na kuongea na familia kisha nalala mapema na ili nipate usingizi wa kutosha kwani usingizi mzuri ni muhimu sana kwa afya ya mwili
Wewe huwa unafanya nini ili siku inayofuata mwili uwe sawa kukabiliana na hekaheka za siku nzima za majuku?