Huwa mnajikumbushia?

Huwa mnajikumbushia?

Duh mzee hii topic ni ngumu sasa na kwa sisi ambao wetu walikuwa wauza baa na hatutaki kukumbuka hiyo past experience yake tufanye nini?

Mambo ya kumalizia nyumba kubwa hayo:becky:
 
kipindi nakua aiseee yale mazingira ni hatari sana kamwe siwezi kujikumbushia eti jaman yan kwenye migomba? kwenye kahawa? mmmh kwenye majani aiseeee ni balaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom