Ubaya wake ni nini,Kwani ameedit hizo sauti zao?Wewe nawe unakuwa kama shombo bwana.Si walitamka wenyewe?Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Tena walipaswa watengeneze documentary zinazoonesha ujinga wa hawa watuLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.

Huyo nzi wa kijani toka lini ameleta uzi wa maana? Yaani uwe na akili halafu ushabikie CCM! Acha utani ndugu yangu!Imebidi nirudi juu kuangalia aliyeleta huu uzi. Afadhali ungeufuta maana unakufedhehesha. Huu uzi ni crap.
Mode mmefuta Post yangu Kuhusu video ya mkono wa Baunsa, Mla Kondoo! Ila naona hii post ya Kitopolo badoo mnaiangalia tuuFedhuli sio huyu?View attachment 1578432
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Subiri kidogo NEC wanakuja!Kwa nini sio halali?
ila kampeni ya style hiyo inammaliza sana mhusika wa sautiNdio ukweli halisi ulitaka wadanganye
Ingekuwa clip hizo ni za kughushi, hoja yako ingekuwa ya maana Sana.. lkn kama ni kweli walisema, uzi huu unajaza server bureLema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Ulimsikia Gwajima wakati anasema?Ingekuwa clip hizo ni za kughushi, hoja yako ingekuwa ya maana Sana.. lkn kama ni kweli walisema, uzi huu unajaza server bure
We Ngombe kwani Rais aliongea kwenye Baraza la Mawaziri au alikuwa anahutubia Taifa? Gwajima alikuwa chumbani au alikuwa anaongea na nyie waumini wake huku akijipambanua anaongea na Dunia nzima?Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa mbona hashitaki kama anazushiwaUlimsikia Gwajima wakati anasema?
Mbona umefura sana manka?!We Ngombe kwani Rais aliongea kwenye Baraza la Mawaziri au alikuwa anahutubia Taifa? Gwajima alikuwa chumbani au alikuwa anaongea na nyie waumini wake huku akijipambanua anaongea na Dunia nzima?
Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee Magufuli anatembea na sauti ya Mbowe tena iliyochakachuliwa!
Kwa uzi huu bwashee umejiaibisha sana, kwa hiyo na clips za Nyerere tusizitumie, mbona hata kwenye daladala huwa zinawekwa?Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge.
Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge na kutishia kuhujumu madrasa.
Binafsi nauchukulia utaratibu huu kama siyo wa halali na ninaiomba NEC na msajili wa vyama kufuatilia na kuchukua hatua.
Maendeleo hayana vyama!
Nashauri chadema watume sauti za muhusika mkuu kila mahali akitutukana watzila kampeni ya style hiyo inammaliza sana mhusika wa sauti