Huu upweke huu

Awae, haika san! Wandu wose wangekuwa kama wewe ama hakika mentor ningekuwa nakaribia sana kuingia chamani...nimeanza kupatamani sasa!



Swadakta, nitafute ujue vyote, na zaidi!!!

( Mr Rocky, jifanye hujaona hapa)

Hapo juu sijaona kabisa Mentor nimevaa miwani ya mbao
Aise lutafutane mambo yakiwa mazuri aise hiyo ni ahadi Mentor na usiache kuniambia bana
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa haya uliyoandika manake upendo wa kweli hufunika yote hasa mapungufu yetu kama vitabu vya dini vinavyozungumza juu ya upendo Yaani upendo haujivuni , hautafuti mambo yake na palipo na pendo kuna kuheshimiana, kujaliana bahati mbaya wengi hawaamini kama upendo wa kweli bado unaexist. Jambo la msingi ni kumwendea muumba na kumweleza haja ya moyo wako.

cc Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Awae, haika san! Wandu wose wangekuwa kama wewe ama hakika mentor ningekuwa nakaribia sana kuingia chamani...nimeanza kupatamani sasa!



Swadakta, nitafute ujue vyote, na zaidi!!!

( Mr Rocky, jifanye hujaona hapa)

Huwezi nijuza hapa hapa jukwaani? Mpaka tutafutane? Basi huo mzigo si mchezo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sio swali la kichokozi hilo
Sasa huenda anaenivutia ana mtu tayari,what can i do??
Wanaume tutaendelea kuvutiwa cna na wanawake mbali2 iwe umeoa au la, mwanamke huyo awe ameolewa au la, swala ni kuwa 'how do you handle that atraction from super sexiest women??' So just find yours n control your emotions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…