Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #261
Eiyer simba ni mkali sana akiwa porini na kwenye himaya yake na hata simba ambaye sio wa kundi lao akiingia kwenye himaya yake wanapambana nae hata kumuua
Simba jike ni mkali ila linapokuja swala la kuwa anahitaji kwenza wa kuwa nae ukali wote unawekwa pembeni na anakuwa mpole na kukukubali simba dume
Ukali wote wa kiume sometime inabidi uwe pembeni then unamkubali kiumbe wa jinsia ya kike kukuondolea upweke na usipokuwa down to earth na ukaendelea na ukali wako wa kiGadaffi mkuu upweke utakukaa sana
Mkuu kwa hili umenilainisha aiseee!!!!!!!