Huu upweke huu

Huu upweke huu

pole, kwani bado upweke hujaisha tu? hukutoka tena na Heaven on Earth mana alikuwa anatakiwa apate mazoezi madogo madogo

Bado sijapata dawa ya huu ugonjwa hivyo haujaisha Heaven on Earth alikuwa anaenda kuchomwa sindano hivyo ratiba ziliingiliana ....lol!!!!!!!

Vipi bado uko tayari kuniondoa upweke?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana. Ila raha jipe Mwenyewe. Nobody has the right to make you unhappy, without your consent.

This is not the matter of happy
This is about lonlyness!
 
Bado sijapata dawa ya huu ugonjwa hivyo haujaisha Heaven on Earth alikuwa anaenda kuchomwa sindano hivyo ratiba ziliingiliana ....lol!!!!!!!

Vipi bado uko tayari kuniondoa upweke?

miye tena? niko tayari halafu huwa napenda maombi ya muumini mmoja mmoja si huwa unaombea? kama huwa unatoa huduma hiyo ndo vizuri nikija kwenye maombi ndo tutaondoana upweke vizuri mana roho wa Mungu atakuwa katikati yetu
 
if wishes cud be horses!
daaadek utamchora chini!
Ennie eh twenzetu kukakabidhi makabrasha ya BRN wachana na huyu paroko wa kigangoni.

***** zake mtu....!!!!!!!
Nakuambia huwezi kumdanganya huyo dadadeki zako

Huyo hawezi kunikimbia hata ufanye nini
Bado wewe .......!!!!!!!!!
 
miye tena? niko tayari halafu huwa napenda maombi ya muumini mmoja mmoja si huwa unaombea? kama huwa unatoa huduma hiyo ndo vizuri nikija kwenye maombi ndo tutaondoana upweke vizuri mana roho wa Mungu atakuwa katikati yetu

Aiseeee....!!!!!!!!!
Kumbe unawazaga kiutu uzima namna hii..

Tena nawapendaga sana waumini wa aina yako
Hebu fanya fanya uje fasita .......!!!!!!!
 
Hakika ulikuwa mpweke,
Hiyo siyo namba yangu kabisa,
Nitakupa namba tukikutana kwenye mazoezi ya kwaya.

Aisee nakusubiria kwa hamu zote kabisa
Nasubiria uje unitoe upweke kiutu uzima aiseee.......!!!!!!!
 
Aiseeee....!!!!!!!!!
Kumbe unawazaga kiutu uzima namna hii..

Tena nawapendaga sana waumini wa aina yako
Hebu fanya fanya uje fasita .......!!!!!!!

loh.....!! kumbe ulifikiri na mimi ni wale wale watoto wa Mulugo nini?
lini sasa nije kwa ajili ya hayo maombi? mana nimepata shauku ya ghafla
 
Sasa tuambiane hapa hapa na akina Ennie wasikie .....????
 
Last edited by a moderator:
hilo nalo neno tuhamie PM sasa, ila mbona umemuhofia Ennie tu? ndo wife nini? mana humu naona kila mtu ana wake

Huyo ana watu ambao wanajidai eti anataka aniondolee uparoko wangu
Na sio huyo tu kuna mwingine anaitwa snowhite hao ni wavimba macho tu

Bora tuhamie PM ili mimacho iwatoke na wsaione ....!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ana watu ambao wanajidai eti anataka aniondolee uparoko wangu
Na sio huyo tu kuna mwingine anaitwa snowhite hao ni wavimba macho tu

Bora tuhamie PM ili mimacho iwatoke na wsaione ....!!!!!!

ha ha ha...!!!! washindwe wakuondolee uparoko wako? wakati waumini wapya ndo tunataka tujiunge

eti snowhite ya kweli hayo? au anajikosha tu hapa kwangu kwa vile muumini mpya?
 
Huhitajiki kuwa na hofu yoyte ile huduma nitakupa bila tatizo lolote lile
Ukitaka kujua uzuri wa huduma yangu muulize Heaven on Earth .....!!!!!!!!

Tena huyo snowhite akiendelea kuniletea zake namuachisha kazi yake ya ualimu wa shule yachekechea ya jimbo ....!!!
 
hivyo eeh!!! kumbe Heaven on Earth alishapata huduma zako? za kiroho na kimwili? au??????????
 
Pole baba paroko.

Hivi Karucee baba paroko nae anakuwaga mpweke si ana waumini wa kila siku wanaokuja kwake kutoa matatizo yao
Na ana wale sisters ambao muda wote wapo kumhudumia baba paroko asione upweke
 
Last edited by a moderator:
Hivi Karucee baba paroko nae anakuwaga mpweke si ana waumini wa kila siku wanaokuja kwake kutoa matatizo yao
Na ana wale sisters ambao muda wote wapo kumhudumia baba paroko asione upweke

Ndo hapo ushangae na wewe. Labda kuna mmoja anampenda na kumtaka awe wake but hampati. Angetuambia tu upweke unatokana na nini. Au sio best ?
 
Baba paroko anatoa huduma na yeye anahitaji kuburudika vyema bana

Hao uliowataja wanaijia huduka kutoka kwake
Na yeye je nani anamhudumia ...??
 
Ndo hapo ushangae na wewe. Labda kuna mmoja anampenda na kumtaka awe wake but hampati. Angetuambia tu upweke unatokana na nini. Au sio best ?

Wewe .........!!!!!!!!!!!
 
***** zake mtu....!!!!!!!
Nakuambia huwezi kumdanganya huyo dadadeki zako

Huyo hawezi kunikimbia hata ufanye nini
Bado wewe .......!!!!!!!!!

ahahahahahahahhahahahhahahhaaa maskin Eiyer Ennie ukuje huku kuna mtu atakutaja la utoto sas hv
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom