Sasa ningekuwa nae ningekuwa nateseka hivi??
Tena kampani yako nitaifurahiaje ....???
Unaweza kuja tu usijali kuhusiana na hali yako naijua vyema .......!!!!!!!!!
Unapajua wapi pazuri??
Hatareeee
Yani kama ni upweke.. Mi ndo utaniua leo!
Nimevunja ndoa leo leo kuleee CC!
I loved somebody's.....!
And somebody came suddenly...!
He dropped me out with no mercy!
Ohh my.....!