Huu sio ubinadamu kabisa

Ile ni kama vita, na kwenye vita kuna mambo manne, ufe, uue, urudi majeruhi au mzima.. unapo jilipua kuna hayo matokeo
Yap, nakubaliana na wewe. Ila dogo alikuwa third year, muhula wa mwisho. Alilia sana asaidiwe, ila ndo hivyo akawa amejeruhiwa mazima.
 

Ni kweli Kabisa.
Hapo atumie tuu mbinu ya kujiliza kama ishu haijafika mbali
 
Thubutuuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mbinu za kimedani zipo mingii sanaaaa.. sema kuna pepa moja nilipiga lilikuwa la nje jamaa ni konyooo, na laptop hiyo unayo hapo mtihani ulikuwa siku tatu lakini wapiiii.. wa kwanza nili fail .. nikarudia wa pili ndio nikatoboa .. hata kuandaa nondo lazima uwe na akili
 
Yap, nakubaliana na wewe. Ila dogo alikuwa third year, muhula wa mwisho. Alilia sana asaidiwe, ila ndo hivyo akawa amejeruhiwa mazima.
Yale ma ajali kama ma ajali mengine.. maana mie hadi mtihani wa mwisho nimetumia nyanga ile fresh upepo ulikuwa upande wangu. Miaka mitatu lazima ulie sana maana kama unaanza chuo unaanza sifuri tena
 
Kwan sheria ya mitihan inasemaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee noumaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee noumaaah
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… from there nilikuwa situmii tena, maana zilikuwa certification za kimataifa , elimu za wenzetu zipo practical sana, theory inakujengea msingi flani hivi.. ila ukija kwenye paper kama hukuelewa hutoboi..
 
Hivi unajuwa kuwa wafuatiliaji wa vyeti halisi wanaweza kuwasilisha hati ya kutaka taarifa zako JF ili wakufungulie kesi ya kuibia mitihani. Kwa vile kuibia mitihani ni kosa la jinai "punishable" kwa kufutiwa mitrihani na kunyang'anywa vyeti, usibwatuke ukajajikuta vyeti vyako vinayeyuka.
 
You need to be shamed and if possible your real identity exposed, so that you pay for the crime! You are criminal, I don't know what morals you teach your kids, if you have any!
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Unatisha nyau, wavifute tu wabatilishe matokeo kabisa.. makaratasi hayo ya nini tena. Kama wakitaka waje tu PM nawapa majina kamili, chuo, mwaka na course maana taarifa za JF zote za uowongo hawatokuwa na uwezo wa kupata mlengwaa.. ila sasa hivi nafanya kazi kwa kuitwaa mkuu mavyweti hayana dili tena kazi zangu elimu tosha
 
kwanza mpe pole. Ila kama alichokisoma kakielewa wala asijali kufeli mtihani sio kufeli maisha. Ila kama alitegemea kuajiriwa hapo ndo kafeli
 
You need to be shamed and if possible your real identity exposed, so that you pay for the crime! You are criminal, I don't know what morals you teach your kids, if you have any!
Mkuu, nikuambie wazi wazi.. Nimeanza tumia nondo secondary hakuna mtihani sijawai tumia nondo hadi nimemaliza chuo ... sehemu pekee ambayo sijatumia nondo ni kwenye certification za kimataifa maana zile hata nondo hazidui dafu πŸ˜…πŸ˜… . Mie mbumbu tu ndio maana nilikuwa natumia njia mbadala, ningefeli ningekuwapi mie.. maisha ni vita tumia mbinu yoyote kutoboa
 
Wabongo tuna excuse za kijinga badala ya kukubali kuwa tumekosa tunaona tumeonewa.

Sheria ni msumeno..))
Sawa na mtu ananyandua demu kavukavu demu kapata mimba anakuambia ile ni bahati mbaya!!
Seriously!??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…