Huu ni unafiki: Mnyonge mnyongeni... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni unafiki: Mnyonge mnyongeni...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Feb 26, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Nimesoma post moja yenye heading KIKWETE ALIVYOONDOKA MONDULI CHUO CHA JESHI KWA MSUKOSUKO. Kama yaliyoandikwa ni kweli, basi post hiyo nimeipenda sana na ninashauri kila mtu aisome.
  Mara kwa mara nimekuwa nikisema members wengi wa JF ni wanafiki na wanaushabiki wa kitoto kabisa. Ni ajabu. Assume, kweli JK alitoa siri kuwa Mzee Sayore anafanya aliyokuwa akiyafanya, Huo ni uzalendo wa hali ya juu lakini unakuta mwana JF anaamua kumkanyaga JK kwa uamuzi wake wa kutoa siri kwa yale yaliyokuwa yakimkera. Je, mngependa JK afumbie macho uovu?

  Mi nilitegemea tuseme Nyerere na Msuguri hawakufanya vema kwa kutom-protect informer. Kama kweli JK alifanya vile alikuwa na machungu na siasa ya ujamaa ambayo ilikuwa haitaki ubepari. Nadhani tunaweza kumpigia makofi.
  Inawezekana mnamuona JK kuwa labda ni mnafiki kwa kuwa sasa rafiki zake ni matajiri wakubwa, hili ni jambo la kawaida kabisa kwani Sheikh, Mchungaji au Padri anaweza kugeuka na kuwa bedui mkubwa na bedui anaweza kuwa Sheikh au hata mchungaji.

  Kilichofanyika hapa"kama ni kweli" ni kosa kwa Msuguri ambapo alitaka kumchonganisha JK kwa bosi wake. Ni sawa na kumwambia mtu bona fide kuwa spouse wake anamahusiano na mtu mwingine halafu badala ya kufanya uchunguzi anaenda kumwambia huyo mwenza wake kuwa habari hii nimepewa na fulani. Acheni siasa, Leo mnamsakama JK, kesho mtaandika jinsi Dr Slaa alivyopora mke wa mtu na jinsi Mbowe alivyoifisidi NSSF au pia hata jinsi Chacha Wangwe alivyouawa. Ni unafiki tuuu.
   
 2. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona hueleweki? Unamfanyia utetezi au uko kimaslahi zaidi,...hana lolote huyo!
   
 3. k

  kayumba JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nalo neno!

  Katika hilo la Monduli lawama zimwendee Nyerere, Msuguri, Jk au Sayore?
   
 4. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Sijui wewe unaonaje?
   
 5. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Umeisoma vizuri hiyo habari weye?
  Yule Sayore alikuwa anafuga hao wanyama na akawa anawauzia Jeshi..je kulikuwa na tatizo gani??
  Mali yako mwenyewe unataka kuuza, jamani hapo kuna kosa gani?? hata Nyerere aliona kuwa huo ulikuwa ni upuuzi na wivu tu ndio maana aliamua tu kukaa kimya.
  Hapo inaonekana wazi kabisa JK kilikuwa kinamuuma sana kwa Sayore kulipwa pesa na Jeshi, sasa alitaka awe anatoa maziwa bure??
  na hao ng'ombe wangeendeleaje kuhudumiwa??
  use ur common sense
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  jamaa yako alikuwa amejawa na wivu mkuu
   
 7. n

  ngoko JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi ninachoona aliandika hiyo barua ili yeye ikiwezekana apewe huo ukuu na si vinginevyo. Kama ingekuwa uzalendo basi leo hii akiwa ameshikilia rungu tusingeshuhudia wahujumu wakubwa wa uchumi wetu wakiwa pembeni mwake (CC, NEC etc) huku akiwakingia kifua , unless mtoa mada useme yeye uchungu wake ilikuwa kumuona Sayore akiuza maziwa etc pale jeshini bali anafarijika sana ku kuwahifadhi wataalam wa Kagoda etc.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Wivu wa kike kama alivyopigwa kijembe na Ben Mkapa.
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  Hata wakati ambapo ujamaa ulikuwa umeshika kasi..mwalimu hakuwa na tatizo kabisa na viongozi waliokuwa wakijifugia au kulima kama familia....mwenyewe alikuwa akiwataka kila kiongozi kuwa na shamba la mfano kwenye ule mpango wa KILIMO CHA KUFA NA KUPONA.
  Yeye mwenyewe alionesha mfano kwa kulima butiama ..na mkewe alifuga kuku wengi sana msasani ...akishirikiana na wanae....na kuku wale aliwauza kwenye mahoteli ya wakati huo.......
  KAWAWA alikuwa na mashamba yake ya mahindi dodoma,na ruvuma [mtakanini] kama mashamba ya mfano ...waulizeni kina Vita....na mahindi ya kawawa aliyauza kwenye mashule .....yote hayo ilikuwa kuhakikisha viongozi hawawi makupe...kila mmoja anatakiwa kuwa na shamba la mfano.....

  So naweza kumuelewa mwalimu kwanini hakuona mantiki kwa Kikwete kumtuhumu kiongozi anayeuza mazao ya shamba lake au mifugo........sasa mlitegemea Jeshi lisinunue chakula tu kwa sababu ni sayore......mwalimu hakufanya kosa kabisa ..kumwambia Msuguri wamalize wenyewe......[hakuwa na nia mbaya....alitaka waelezane kwenye vikao yaishe]
  Musuguri alitumia aproach ambayo sio nzuri....kumpambanisha moja kwa moja JK na Sayore......labda ni katika ile imani ya jeshini kuwa Majungu hayatakiwi....na maatatizo yote yanatakiwa kuelezewa bila woga kwenye vikao vya kambi...Jk alikuwa na fursa hiyo na hakuitumia jambo ambalo liliashiria ana nia mbaya na mkuu wake..
  Haata siku hizi nimepata kuongea na maafisa wengi wanasema jeshini sio ajabu kabisa kukuta mtu anapeleka mashtaka kwa siri ....kuitwa kwenye kikao na yule aliyemtuhumu kutakiwa aeleze wazi mbele yake....hawataki majungu kabisa...unless umepeleka taarifa inayohatarisha usalama wa nchi ie mapinduzi au uasi ..hapo mtoa taarifa hulindwa ..lakini haya majungu ya kawaida ..you have to prove!!!
   
 11. T

  Tata JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Kwa lugha ya kisasa tunamwita mtu anayefanya mambo kama aliyoyafanya Kikwete "whistle blower" kwa tafsiri ya kiswahili isiyo rasmi unaweza kumwita "mpiga filimbi". Ni sawa na mlinzi anapoona mtu akiiba na kuamua kupiga filimbi ili watu wasikie na kusaidia kuzuia wizi unaoendelea. JK aliona mazingira ya mgongano wa kimaslahi, ambayo sielewi kwa nini Mwalimu hakuyaona, na akachukua hatua. Kilichotakiwa ni kwa Mwalimu kufanya uchunguzi wake binafsi kuona kama kilichosemwa ni sahihi au la na ikiwezekana kuchukua hatua stahiki. Lakini hapa aliamua kumchinjia mbali mtoa habari kwa kumkabidhi kwa msuguri ambaye naye alimkabidhi kwa mtuhumiwa.
   
 12. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Viongozi wa zamani walikuwa wanafanya kazi kujiongezea kipato, wa sasa wamekalia wizi na ufisadi!
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nani sasa mwenye wivu, Slaa anaeutaka urais kwa nguvu au JK ambae ndie rais halali ?
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Lawama kwa Nyerere si kwa tatizo hilo tu, bali matatizo yote yanayoikumba Tanzania ya leo.

  Matatizo ya Tanzania ni uongozi mbovu na misingi mibovu aliyoiacha Tanzania.
  Hakuna alichokifanya Nyerere hata kimoja kilichofanikiwa, kama kipo mimi sijakiona na sitegemei kukiona.
   
 15. A

  Awo JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Slaa anahusikaje hapa?
   
 16. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vipi tenda ilitangazwa au walipeana ? je taratibu za manunuzi za kiserikali zilikuwa zinafutwa au kijeshi jeshi tu ? Kikwete alikuwa sawa
   
 17. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  kwa hili uko sahihi mkuu. mwl alifanya vyema tu kumpa ile barua supervisor wake but supervisor alikosea sana. hata ivyo ya mkwere yalikuwa ya kweli kwa wakati huo na ni wa kumpongeza.
   
 18. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Waliweka kikao wakaulizwa kuna mwenye tatizo na utendaji wangu? mkwere akakaa kimya! Kwa nini? Haya mi nina tatizo na utendaji wake "hivi kwa nini watanzania ni maskini?" anijibu,
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  tofautisha kati ya uzalendo na ufitini.
   
 20. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni Sayore alipoita kikao, JK angesema ilipoulizwa kuna tatizo na sio kusema mambo yote sawa huku kichini chini unamchimba!
   
Loading...