Possibles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 1,899
- 2,339
Huu utakuwa ni ukombozi mkubwa sanaSasa wanatoa mkuu.kuna jamaa alifukuzwa kazi mwezi wa 1 kaenda kachukua pesa kanunua Harrier then kaajiriwa kampuni nyingine.
Huu utakuwa ni ukombozi mkubwa sanaSasa wanatoa mkuu.kuna jamaa alifukuzwa kazi mwezi wa 1 kaenda kachukua pesa kanunua Harrier then kaajiriwa kampuni nyingine.
Plan b ipo,nimeandika kuwa nitamfungulia wife biashara pale nyumbani maana kuna nafasi ya kufanya hivyo..Kabla hujaacha kazi,jiulize je una plan b?ikitokea mradi haujafanikiwa utafanya nini ili kuitimizia familia mahitaji yake daily?mana kuna magonjwa,kula nk!
Ukiwa na hiyo plan b acha uende,ila kama huna usiache hiyo kazi!
Nae akishindwa hiyo biashara?Plan b ipo,nimeandika kuwa nitamfungulia wife biashara pale nyumbani maana kuna nafasi ya kufanya hivyo..
Hizi ndio akili,leta mrejesho mambo yatakavyokuwa huko shambani,unaweza ukawa nabii mzuri na wengine tukafuata mfano.Habari wakuu,
Baada ya kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda sasa bila ya kuyafikia maisha ya ndoto zangu, pia baada ya kuishi maisha nisiyopendezwa nayo (kukosa uhuru wa kipato) nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya hatma ya maisha yangu na kufikia maamuzi yafuatayo.
Mosi, kuna 4.3m PPF, hiki ni kiasi ambacho nilishindwa kukitoa enzi za mwendazake baada ya kupoteza ajira. Sasa niko kwenye kampuni nyingine ambapo michango yangu mpaka sasa ni 5m,so nataka nizihamishie huku na mpaka March mwakani unapoisha mkataba wangu nitakuwa na si chini ya 10m.
Pili,kabla ya December mwaka huu nitaenda Morogoro kufanya ziara maana kuna mshikaji wangu yupo kule naye alikuwa mwajiriwa somewhere akaamua kuacha kazi na kujikita katika kilimo na ufugaji (yuko njema sana), huyu jamaa yangu atakuwa msaada sana kwangu katika kutimiza matarajio yangu.
Tatu,nikishachukua hicho kiasi namfungulia wife mradi wa 2m nyumbani then mimi nasepa zangu porini ambapo nitafanya yafuatayo
. Kufuga nguruwe na kuku
. Kulima nyanya za kumwagilia
Hayo hapo juu nitayafanya kwa 4m na kiasi kilichobaki ambayo itakuwa ni 4m nitaiweka akiba then nitakitumia kununulia mazao kama mahindi nk kipindi cha mavuno.
Karibuni wakuu kwa ushauri zaidi.
All the best..1.Ndio mkuu
2.Nilifanya kilimo cha nyanya kama trial hap hapa kwangu,nilifuata taratibu zote za wataalam na wazoefu na matokeo niliyaona mkuu. Pia miaka ya 2003-4 niliwahi kwenda kulima Iringa,nililima maharage karanga na alizeti ila ilikuwa ni kienyeji sana.
3.Interst ninayo tena kubwa sana,naweza kabisa kukaa shamba kwani nimeshahi kufanya hivyo miaka mingi japo sikuwa na mtaji wa kutosha.
Karibu mkuu