alquin maxmillian madoro
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 374
- 251
Nyumba za bwana zimegeuzwa pango la walanguzi..... Ushuzi mtupu
Kwahiyo Mariam alitiwa mbegu za kiume ili Yesu azaliwe !.? .....damn ! mimi ni mwana wa Adam, kwa kiarabu ni Bin Adam
Aliziingiza hizo mbegu kwa chupa kama ng'ombe wa kisasa wanavyopandikizwa ??!Hivi ulifanikiwa kusoma Bailojia kidogo mkuu? Kwani kuna ubaya gani kama Mungu aliweka mbegu za kiume katika Tumbo la Maria? Kwani mbegu za kiume ni mbaya? Kwani wewe umetokana na mbegu za Mpilipili au Mfenesi? Kama Mungu ndiye aaliyeumba mbegu zako za kiume na yai la mkeo kuna ubaya gani ikiwa aliamua kutumia mbegu za kiume katika kumleta Yesu duniani? Ikiwa Mungu ndiye muumbaji Wa mbegu za kiume kuna ubaya gani akizitumia apendavyo?
Ndiyo tusubiri tuone,alafu ndiyo tumpinge Bushiri.Kwa hiyo huyo kiongozi mkubwa aliyekumbwa na maradhi kukamilisha utabiri wake ni nani..?
Aliziingiza hizo mbegu kwa chupa kama ng'ombe wa kisasa wanavyopandikizwa ??!
Mie nakuelewa kuwa najibishana na kufar ambaye haogopi matamshi yake ya kukufuru, unajua fika kuwa mimba inatungwaje ! kwa hiyo tendo la ngodo lilifanyika ili kupatikana Yesu. Uislam unatambua hali ya Yesu ni sawa na ya Adam, hapakuwepo mbegu ya kiume !Njia yoyote ile aliyotumia kwangu sio hoja.Awe alitumia chupa kama inayotumika katika Ng'ombe suala muhimu inakuwa ni Yale matokeo.Kuna ubaya gani kama alitumia chupa? Kwani ingredients za chupa uliziumba wewe hadi ushangae Mungu kuzitumia? Ninaanza kuhisi kama vile najibizana na mtu ambaye uelewa ni mdogo sana kulinganisha na mambo yanayojadiliwa hapa.
Mie nakuelewa kuwa najibishana na kufar ambaye haogopi matamshi yake ya kukufuru, unajua fika kuwa mimba inatungwaje ! kwa hiyo tendo la ngodo lilifanyika ili kupatikana Yesu. Uislam unatambua hali ya Yesu ni sawa na ya Adam, hapakuwepo mbegu ya kiume !
Ukitupa shilingi angani mtu akasema itaangukia Mwenge na Wengine wakasema itawngukia Mwalimu, Mara ikaangukia Mwenge mtamwita ni nabii? Huo sio Unabii ni pata Potea! Probability tena ya 50 kwa 50. Someni Biblia vizuri acheni kutapeliwa.KMimi nakumbuka 2015 kuwa Magufuli atashinda na ikawa,kuhusu Lowasa hakutaja jina ila alisema kuwa kuna kiongozi mkubwa wa upinzani atapatwa na maradhi.Gwajima aache miemko!
Haya wewe unayedhani hakuumbwa kwa kuwa haimeki sense, Je kurevolve randomly kutoka unicellular, kisha nyani hafu mtu kama alivyoleo inameki sense to you? Vipi manyani Waliopo leo Walimkosea nini Darwin? Mbona nao hawabadiliki na kuwa Watu kama Anacletus? Nikushauri tu uache tabia ya kujifanya una uelewa kuliko wengine kwa kuwa una opinion tofauti. Mimi sipo hapa kubishia Uwepo wa Mungu, Naamini Yupo! Kama wewe Unaamini ulitokea kwa manyani shauri lako. Tena nasema unaamini kwa kutuambia unajua Utakuwa mwongo! Nilipokuwa Shule Biology ilikuwa ni kipenzi changu sijawahi pata chini ya B sio O Level Azania, au A Level Pugu! Nilisoma PCB FYI. Usiparamie watu bro!Asante mkuu.Sijui maana ya "Kufar" lakini hiyo sio hoja kwangu.Kwa hiyo Adamu alishushwa tu from nowhere? Basi tuishie hapo maana naona uelewa wako na wangu ni sawa na kichuguu na Mlima.
Kufar ni mtu kama wewe, ambaye anadai Mungu ana mbegu za kiume !Asante mkuu.Sijui maana ya "Kufar" lakini hiyo sio hoja kwangu.Kwa hiyo Adamu alishushwa tu from nowhere? Basi tuishie hapo maana naona uelewa wako na wangu ni sawa na kichuguu na Mlima.
Haya wewe unayedhani hakuumbwa kwa kuwa haimeki sense, Je kurevolve randomly kutoka unicellular, kisha nyani hafu mtu kama alivyoleo inameki sense to you? Vipi manyani Waliopo leo Walimkosea nini Darwin? Mbona nao hawabadiliki na kuwa Watu kama Anacletus? Nikushauri tu uache tabia ya kujifanya una uelewa kuliko wengine kwa kuwa una opinion tofauti. Mimi sipo hapa kubishia Uwepo wa Mungu, Naamini Yupo! Kama wewe Unaamini ulitokea kwa manyani shauri lako. Tena nasema unaamini kwa kutuambia unajua Utakuwa mwongo! Nilipokuwa Shule Biology ilikuwa ni kipenzi changu sijawahi pata chini ya B sio O Level Azania, au A Level Pugu! Nilisoma PCB FYI. Usiparamie watu bro!
Its not that simple! Hata waamini wa Mungu kwa akili kuna yanayowatatiza sio Wajinga! Anyway nikiishi sana nitaishi miaka 80, Uwezo wa Kujiamini kujadili mambo ya Mungu kuwepo au kutokuwepo nitaupata ikiwa nitajaliwa kuishi miaka 80,000,000 kwa sasa wacha nimwamini yupo!Tofauti zetu Mimi na wenzio ni katika process ya Uumbaji.Ninyi munaamini Mungu alisema tu kisha mwanadamu akatokea.Mimi naamini tena kutokana na facts za Kisayansi kwamba kulifanyika integration ya vitu mbalimbali ikiwemo roho ndio mwanadamu akakamilika.Sasa ikiwa ninyi munaamini mtu alitokea tu ghafla kwa nini process ya namna hiyo haiendelei hadi Leo? Kuhusu Darwim Mimi sijamuongelea kabisa mahali popote wala kutoa hoja inayomhusisha kwa njia yoyote ile.Halafu Mimi hakuna mahali nimekufuata katika Uzi huu au mwingine wowote ule sijui kama nimejisahau labda.
Mkuu hii thread ya waislamu. Waache wajinafasi kwa uhuru aliowapa MOD. Endelea na mambo mengine.Kitabu cha Yeremia 28:16-17 kuna habari ya Nabii Yeremia kumtabiria kifo Nabii Hanania, na ikawa...
"Kwa hiyo Yehova amesema hivi, ‘Tazama! Ninakuondolea mbali kutoka katika uso wa nchi. Mwaka huu utakufa hakika,+ kwa maana umesema maasi ya waziwazi juu ya Yehova.’”+17 Basi Hanania nabii akafa mwaka huo, katika mwezi wa saba"
Wafalme wa Pili, 1: 16-17 kuna habari ya Nabii Elia kumtabiria kifo Mfalme Ahazia na ikawa...
"16 Akamwambia, Bwana asema hivi, Kwa kuwa umetuma wajumbe waulize kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni, je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, uulize neno lake? Kwa hiyo hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa.
17 Basi akafa, sawasawa na neno la Bwana alilolinena Eliya."
Hivyo usigeneralize huo mtazamo wako.Nabii wa kweli pia anaweza kutabiri kifo.