Huu ndio Utapeli wa "Prophet Bushiri" Anayemtishia Lowassa

Huu ndio Utapeli wa "Prophet Bushiri" Anayemtishia Lowassa

Acha povu ww, sio ukristo. Be specific. Haya yote yametabiliwa ndani ya biblia na kwa ambao tunaamini biblia hatushangai kwani unabii ni shart utimie.
Wenye laana hawajijui. Yanafuata kama ng'ombe
 
Gwajima aliyaamuru mapepo yakamuingie mtoto wa mbaya wake ,baada ya pepo kushindwa kuingia kwa mbya wa Gwajima
 
Take time ufuatilie hizi vitu ukitumia Bible, Geography, Science, culture etc utashangaa watu tunavyo settle for simple and false assumptions! Na usidhani mimi simwamini Mungu, Mimi ni mlokole anayesali na kufunga! Naweza kufunga na kukaa mahali kwa siku tatu usiku na Mchana bila kusema lolote, Kisha nikisha kutafakari naomba kwa lisaa limoja na navunja Kufunga. Nimeona mengi ya ajabu ila siweze kusema mengine. Do you know even some humans are born directly by the will of the devil and with his Spirit! Anazaliwa Shetani, anaishi shetani na mpaka anaondoka duniani ni shetani. Why do you think God in the Bible rejected Essaw? And He made sure the father Issac will be blind cause God know being human, Issac will insist on blessing Essau instead if Jacob! God find it hard to let him know that your first born is the seed of the devil. Je umeshawahi kukutana na watu wa aina hii?

Duuuh,
Mkuu, mbona naogopa!!?

Aiseeeh
 
Ukimuona Pastor/Nabii anatabiri kifo kwa mtu yeyote ujuwe huyo tapeli, Hakuna ajuwae kifo chake itakuwaje utabiri kifo cha mwenzake?.😡
Hii ni type ya Lusekelo alietishia kuua waandishi kabla ya mwezi wa 3, then eti akawasamehe
 
Mtu yeyote mwenye kumtafuta Mungu kwa moyo wake wote na yupo tayari kuishi vile Mungu amemkusudia, basi sio rahisi mtu huyo Mungu amwache aabudi mahali ambapo Mungu wa kweli hayupo.

Shida ni kwamba watu wanataka tu matatizo yao yaishe maisha yaendelee. Yaani kama vile wanaenda kwa waganga wa kienyeji.
Ndio maana watu wanatekwa kirahisi na hawaoni usaidizi wa nguvu ya Mungu.

Huduma ya kweli lazima utaona ushuhuda wa kweli kwa wale wafuasi wa huduma hiyo na utaona kabisa kuwa lengo ni kuujenga ufalme wa Mungu na watawasaidia wengine ili waache uovu na wamrudie Mungu. Kwa ufupi utaona wakitumika kwa kazi ya Mungu na sio majibizano na malumbano ya kupandishiana kibezi ili wasifiwe.

Narudia tena: mwenye nia ya kweli ya kumwona Mungu hawezi akaachwa aende mahali ambapo Mungu hayupo.

Pia tusiwe wepesi sana kuhukumu ila tuwe watumwa wa Kristo kwa kuukemea uovu na roho zidanganyazo. Ila isiwe kwa mihemko lakini kwa kadiri Roho wa Mungu atakavyokufungua macho. Kama huoni bora unyamaze kwa sababu unaweza kujitwalia laana maana wapo watumishi wa Mungu ambao ni kweli wametumwa kumwakilisha Mungu na hata wasioamini wanakiri kwa jinsi wanavyoona matinda yao.

Mungu yupo na tukimtafuta kwa bidii tutamwona
Wewe ulishawahi kumuona huyo mungu ? Au hukumtafuta bado..
 
christians are bunch of fools !
stop being stupid! don't just show up and insult all Christians that are bunch of fools for the acts of few people who called themselves Christians. Christianity is the way of life not a religion! and so if you find someone who claimed to be christian and not act like way our Lord Jesus acted know he is not a Christian. You fool!!
 
namuona dada mmoja hapo analia kweli kweli sijui nini shida ilikuwapo sijui alimuona angel
 
Nakumbuka yule transformer alitabiri waandishi wa habar kufa hadi ifikapo mda Fulani! Baada ya kumuandika anakunywa viroba..sijui unabii wake ulitimia? MUNGU aturehemu sana na hawa manabii wa uongo ni ngumu kuwatambua
Wewe umeshahama kwa Mwingira?
 
HIVI HUWA HATUSOMI BIBILIA? KWANI UOMAPO MATHAYO 24:24 PALE BWANA YESU ANASEMA SIKU ZA MWISHO WATATOKEA MANABII NA MAKRISTO. WA"UONGO". JE UNADHALI KWANINI YESU HAKUSEMA SIKU ZA MWISHO WATATOKEA MANABII NA MAKRISTO WA KWELI?
 
Wakristo Wanaamini Kila Kitu wakiwemo Waroma! Inakuwaje Wote tunajua Yesu alikuwa ni Myahudi leo Mzungu ametubadilishia na Kuchora Yesu ambaye ni Blondy mwenye macho ya buluu! Hata bila Aibu Mungu naye wakajaribu kuchora ni Limzungu lizee lakini lina nywele yeupe kama sufu! Who knows anaweza kuwa Mweusi kama Mpingo, yaani Tumedanganywa Kiasi ukijaribu kuimagine Mungu anaweza kuwa Mweusi Kama Mkisii Roho inakataa!
Bibilia Inasema wazi kuwa Shetani ni Mtanashati na anawaka waka kama Malaika wa Nuru lakini sisi Tunaaminini ana Mapembe! Wapi iko kwenye Biblia ah no ni Mzungu kasema!

Ati huyu ni Yesu
Savior.jpeg


Na Huyu ni Mungu really?

Cima_da_Conegliano%2C_God_the_Father.jpg


Kama Kuna Kitu walichosa Wazungu ni AIBU, Nakumbuka wakati nakuwa Kule Rombo, Kila Kizuri au Kikubwa Kiliitwa cha Ksungu, ila yale Mamende Makubwa na Mainzi makubwa hapana nikajiuliza sana nikiwa Mtoto Mbona Mainzi makubwa hayaitwi ya Kizungu?
 
ulokole bwana,hawa mana bii bwana siku moja tuko msibani basi ulikuwa ni wa mlokole walikesha kutwa nzima wakiombea maiti ifufuke huku wakidai yupo hai kwa sababu amelala
 
Back
Top Bottom