Huu ndio Utapeli wa "Prophet Bushiri" Anayemtishia Lowassa

Huu ndio Utapeli wa "Prophet Bushiri" Anayemtishia Lowassa

Gwajima ndie Askofu shujaa Tanzania, wapumbavu ndio wanaombeza.

Nakukubali sana Gwajima.
 
Huyu jamaa ni mpiga ramli sana, anawadanganya wenye utindio wa ubongo
 
umebainisha uongo wa mmoja tu lakini hatuoni uongo wa huyo nabii wa pili
 
Mtu yeyote mwenye kumtafuta Mungu kwa moyo wake wote na yupo tayari kuishi vile Mungu amemkusudia, basi sio rahisi mtu huyo Mungu amwache aabudi mahali ambapo Mungu wa kweli hayupo.

Shida ni kwamba watu wanataka tu matatizo yao yaishe maisha yaendelee. Yaani kama vile wanaenda kwa waganga wa kienyeji.
Ndio maana watu wanatekwa kirahisi na hawaoni usaidizi wa nguvu ya Mungu.

Huduma ya kweli lazima utaona ushuhuda wa kweli kwa wale wafuasi wa huduma hiyo na utaona kabisa kuwa lengo ni kuujenga ufalme wa Mungu na watawasaidia wengine ili waache uovu na wamrudie Mungu. Kwa ufupi utaona wakitumika kwa kazi ya Mungu na sio majibizano na malumbano ya kupandishiana kibezi ili wasifiwe.

Narudia tena: mwenye nia ya kweli ya kumwona Mungu hawezi akaachwa aende mahali ambapo Mungu hayupo.

Pia tusiwe wepesi sana kuhukumu ila tuwe watumwa wa Kristo kwa kuukemea uovu na roho zidanganyazo. Ila isiwe kwa mihemko lakini kwa kadiri Roho wa Mungu atakavyokufungua macho. Kama huoni bora unyamaze kwa sababu unaweza kujitwalia laana maana wapo watumishi wa Mungu ambao ni kweli wametumwa kumwakilisha Mungu na hata wasioamini wanakiri kwa jinsi wanavyoona matinda yao.

Mungu yupo na tukimtafuta kwa bidii tutamwona
 
Aiseeeee!!
Thanks for sharing this one. Ila umeandika kama mtoto mdogo!!
Mkuu huyu jamaa ni mtoto mdogo sina uhakika kama amemaliza form 4 mwaka Jana! Eti anasuparimpose, sijui ni kitu gani hiki?
 
Nani alikwambia hao Adam na sijui Hawa kwamba walikuwepo kweli?
Bora hata hiyo ya imeandikwa!!
Ulichokisema wewe kuwa walikuwa weupe ilikuwa upepo Mkuu....nashukuru nahisi umeelewa makosa yako ndio maana hurudii!
 
Huu ukiristo ni laana tupu!!!! Viongozi wao matapeli hasa huku Africa ni utapeli mtupu. Tazama akina gwajima na matapeli wengi na ukianzisha kanisa tu umeshakuwa milionea. Wale wa uzunguni nao wana bariki ushoga yaani ni laana tupi

Wakristo ni wahanga wakutaperiwa, ,halafu utakuta jitu ni lisomi kabisa lina hata PHD lakini linataperiwa kifala, , hizi DINI zingine
 
Kitabu cha Yeremia 28:16-17 kuna habari ya Nabii Yeremia kumtabiria kifo Nabii Hanania, na ikawa...

"Kwa hiyo Yehova amesema hivi, ‘Tazama! Ninakuondolea mbali kutoka katika uso wa nchi. Mwaka huu utakufa hakika,+ kwa maana umesema maasi ya waziwazi juu ya Yehova.’”+17 Basi Hanania nabii akafa mwaka huo, katika mwezi wa saba"

Wafalme wa Pili, 1: 16-17 kuna habari ya Nabii Elia kumtabiria kifo Mfalme Ahazia na ikawa...

"16 Akamwambia, Bwana asema hivi, Kwa kuwa umetuma wajumbe waulize kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni, je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, uulize neno lake? Kwa hiyo hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa.
17 Basi akafa, sawasawa na neno la Bwana alilolinena Eliya."

Hivyo usigeneralize huo mtazamo wako.Nabii wa kweli pia anaweza kutabiri kifo.

Jinga lingine ili hapa,,,nyi mtaji wa manabii wa uongo
 
Back
Top Bottom