Huu ndio Utapeli wa "Prophet Bushiri" Anayemtishia Lowassa

Huu ndio Utapeli wa "Prophet Bushiri" Anayemtishia Lowassa

Nilisikiliza Madai ya Askofu Gwajima Dhidi ya Tapeli mmoja aitwaye Prophet Bushiri. Jinsi ambavyo anatumiwa Kutabiri ati Lowassa atakufa.
Wasichojua watu wengi Ni kuwa Wengi wa wanaoitwa Watumishi wa Mungu, Kiasi kikubwa ni Mbwa mwitu Matapeli wa Kutisha.

Nitaweka Mambo Kadhaa ya Kitapeli anayofanya Bushiri. Mojawapo ni Kujifanya alitabiri kuhusu Tetemeko, hawa wanachofanya ni Kungojea Tukio kubwa linatokea, halafu wanatengeneza Video inayoweka sauti yake juu ya Video nyingine ya zamani kabla ya Tukio na Wanasuparimpose maneno mapya (lipsing) juu ya hiyo video ya zamani ili isikike kana kwamba alikuwa akitabiri Tukio hilo, ilihali katika video ya awali, alikuwa akiongelea mengine kabisa!

Mengine ni Kutengeneza Mazingaumbwe ya Michezo ya Kitoto mfano kama huu. Bushiri akijifanya anashusha moto toka mbinguni Kuchoma hirizi. Ukweli ni kuwa ameweka kemikali yenye kutoa moto na akaongezea kiberiti juu yake ili kikipata joto la kemikali kilipoke moto!

Angalia kwa makini.

Na hii Video nyingine anachukua Video ya Zamani ambayo watu walikuwa wakiomba, anaiedit na kusema wanaona Malaika halafu ukisikiliza jibu analopewa ni la mtu wa studio maana halaiki ya watu wale haikuwa naye wakati akiongeza hiyo sauti mpya na ukungu wa malaika.

Sasa Ukiona Mtu anaweza Kudanganya Maelfu ya Watu Kiasi hiki, Hata kuua mtu hatasita! Nimemsikia Katika Video Fulani akisema alimwombea Mchungaji mmoja afe, na akafa sasa, ni wazi Tapeli wa Aina hii anaweza hata kumtumia mtu Majambazi ili wamuue kisha ajidai Utabiri wake umetimia.

Gwajima asidanganyike Bushiri haombei afe, Bali Bushiri anaweza hata Kumtumia Majambazi! Gwajima.

Gwajima na Bushiri wote ni matapeli kuwaskiliza hata kwa sekundi nikupoteza muda adimu uliopewa na Mungu kwenye haya maisha fupi.
 
Hata Gwajima ana tabia ya kutishia watu kufa kama alivyokuwa akimtishia Makonda. Kwa hiyo Bushili na pwagu na gwajima na pwaguzi. Wote matapeli tu na asilimia kubwa ya wachungaji wa kisasa ndo dili zao hizi za upwaguzi.

Ndo maana ninaendelea kuabudu katika kanisa moja takatifu katoliki la mitume hakunaga watu kujifanya wanatenda hii miujizaujiza ya kijuha
We kweli juha umesahau maji ya baraka au hujawahi kuyatumia sema tu asante YEHOVA akupe Hekima na maarifa maana sisi waumini ni mateka mkuu
 
Ukimuona Pastor/Nabii anatabiri kifo kwa mtu yeyote ujuwe huyo tapeli, Hakuna ajuwae kifo chake itakuwaje utabiri kifo cha mwenzake?.😡

Kitabu cha Yeremia 28:16-17 kuna habari ya Nabii Yeremia kumtabiria kifo Nabii Hanania, na ikawa...

"Kwa hiyo Yehova amesema hivi, ‘Tazama! Ninakuondolea mbali kutoka katika uso wa nchi. Mwaka huu utakufa hakika,+ kwa maana umesema maasi ya waziwazi juu ya Yehova.’”+17 Basi Hanania nabii akafa mwaka huo, katika mwezi wa saba"

Wafalme wa Pili, 1: 16-17 kuna habari ya Nabii Elia kumtabiria kifo Mfalme Ahazia na ikawa...

"16 Akamwambia, Bwana asema hivi, Kwa kuwa umetuma wajumbe waulize kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni, je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, uulize neno lake? Kwa hiyo hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa.
17 Basi akafa, sawasawa na neno la Bwana alilolinena Eliya."

Hivyo usigeneralize huo mtazamo wako.Nabii wa kweli pia anaweza kutabiri kifo.
 
Imani bila matendo ni ubatili...wote na gwajima wake ndo wale waleeee

[HASHTAG]#wapooooooo[/HASHTAG]
 
Kwenye harakati za kutafuta uso wa Mungu watu wanaingia kirahisi kwenye mitego ya watenda miujiza feki na wengine wakitumia nguvu za giza. Ni vyema kujua historia ya mchungaji unayeabudu kwake ili walau ujue amepatia wapi daraja hilo then ndio uhamie kupima kama anahubiri injili ya kweli? ....Paulo hakuwa sehemu ya mitume lakini alipokutana na Yesu hakuanza tu kufungua Kanisa na kuhubiri bali alienda kwa mitume ambao ndio waliomuwekea mikono akafanye kazi ya Bwana. Siku hizi mtu anasema amekutana na Yesu ndotoni then anafungua Kanisa! Paulo aliyekutana nae live pengine ndio asingewasikiliza kabisa mitume ......huduma za Kanisa ni madaraja ambayo yanautaratibu wake toka enzi za Kanisa la kwanza na si mtu kuibuka tu kama mzimu .....
 
Kitabu cha Yeremia 28:16-17 kuna habari ya Nabii Yeremia kumtabiria kifo Nabii Hanania, na ikawa...

"Kwa hiyo Yehova amesema hivi, ‘Tazama! Ninakuondolea mbali kutoka katika uso wa nchi. Mwaka huu utakufa hakika,+ kwa maana umesema maasi ya waziwazi juu ya Yehova.’”+17 Basi Hanania nabii akafa mwaka huo, katika mwezi wa saba"

Wafalme wa Pili, 1: 16-17 kuna habari ya Nabii Elia kumtabiria kifo Mfalme Ahazia na ikawa...

"16 Akamwambia, Bwana asema hivi, Kwa kuwa umetuma wajumbe waulize kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni, je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, uulize neno lake? Kwa hiyo hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa.
17 Basi akafa, sawasawa na neno la Bwana alilolinena Eliya."

Hivyo usigeneralize huo mtazamo wako.Nabii wa kweli pia anaweza kutabiri kifo.
Hakuna manabii ni matapeli watupu. Na wewe unaleta maandiko ya laaana hapa kutetea majitu laaana nyinyi ndio hata mkiambiwa vua nguo uliwe tigo nikutie baraka unafanya. Amkeni sio mnatapeliwa na mpo mpo tu. Lakini siwalaumu ikiwa maviongozi wenye dhamana ya nchi wanakwenda eti kuombewa na mijitu laaana kabisa
 
Kwenye harakati za kutafuta uso wa Mungu watu wanaingia kirahisi kwenye mitego ya watenda miujiza feki na wengine wakitumia nguvu za giza. Ni vyema kujua historia ya mchungaji unayeabudu kwake ili walau ujue amepatia wapi daraja hilo then ndio uhamie kupima kama anahubiri injili ya kweli? ....Paulo hakuwa sehemu ya mitume lakini alipokutana na Yesu hakuanza tu kufungua Kanisa na kuhubiri bali alienda kwa mitume ambao ndio waliomuwekea mikono akafanye kazi ya Bwana. Siku hizi mtu anasema amekutana na Yesu ndotoni then anafungua Kanisa! Paulo aliyekutana nae live pengine ndio asingewasikiliza kabisa mitume ......huduma za Kanisa ni madaraja ambayo yanautaratibu wake toka enzi za Kanisa la kwanza na si mtu kuibuka tu kama mzimu .....
Yaani nyinyi wakiristo ndio mumeishiwa kweli mnawaabudu haya matapeli mnawaita eti wachungaji wao wanachunga pesa tu. Mnamuabudu haya maaskofu sijui machungaji yaani mnaenda kama mataahira na wake zenu wanazini na hayo machungaji mnaona eti ametiwa baraka na mtu wa mungu.
 
Yaache maandiko matakatifu yatimie, wewe ni nani hata utake kuzuia maandiko matakatifu yasitimie?
 
Hata haina haja ya kuangalia hizo clip sababu ukimuangalia sura yake unajua huyu ni tapeli la kidini. Acha aendelee kuwadanganya Wavivu wa kufikiri na kutafakari..
Ni kweli kabisa, yaani face yake imekaa kitapeli na hata hawezi kumuangalia mtu usoni!
Huwa ukimtazama macho yakikutana lazima akwepeshe...
 
KMimi nakumbuka 2015 kuwa Magufuli atashinda na ikawa,kuhusu Lowasa hakutaja jina ila alisema kuwa kuna kiongozi mkubwa wa upinzani atapatwa na maradhi.Gwajima aache miemko!
Kwa hiyo huyo kiongozi mkubwa aliyekumbwa na maradhi kukamilisha utabiri wake ni nani..?
 
Yaache maandiko matakatifu yatimie, wewe ni nani hata utake kuzuia maandiko matakatifu yasitimie?
Hato maandiko unayodai ni matakatifu mbona mnatapeliwa na bado mnawaita matakatifu yaani waafirika kweli ni nyani tu
 
Mungu anawaona hawa wachungaji.....Bushiri and wife wanavaa nguo za designers baab kubwa....Kiatu cha mke wake ni baab kubwa.Sadaka za waumini zinafanya kazi kubwa sana.........Mungu saidia watu wako.
 
Nakumbuka yule transformer alitabiri waandishi wa habar kufa hadi ifikapo mda Fulani! Baada ya kumuandika anakunywa viroba..sijui unabii wake ulitimia? MUNGU aturehemu sana na hawa manabii wa uongo ni ngumu kuwatambua
christians are bunch of fools !
 
Back
Top Bottom