Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,576
Hata uwe msafi mpaka unawaka kama almasi ulinzi madhubuti ni muhimu No matter what...No offense.Suala la kuwa na ulinzi mkali linategemea na tabia za Rais au kiongozi mwenyewe jinsi anavyoishi na watu,anaweza akawatengeneza maadui yeye mwenyewe na akawa anaogopa hatima ya usalama wake na ndio kupeleka kuwa na maulinzi makubwa,ama anaweza akatengeneza marafiki wengi watu Safi na uhusiano mzuri na raia wake na hi ikapelekea kuwa na ulinzi wa kawaida.
Ni mapema mno Samia kumpa sifa hiyo,so long as yeye Ni CCM ,na CCM Ni ileile.tusubiri tuone.
_Kiislam hakuna aliye msafi kama Mtume (S.W.A) na alishambuliwa na mawe.
_Kikristo hakuna aliyemsafi zaidi ya Yesu na alishambuliwa.
Ulinzi madhubuti ni muhimu no excuse...akili mfu tu ndio itapinga.