kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,653
Ya kutaka chato iwe mkoaNingependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema,,
Ya kutaka chato iwe mkoaNingependa uitaje miradi unayodhani inatakiwa kupigwa chini kama unavyosema,,
Yamefungiwa stoo kule chato.Subiri uone baada ya Msiba! Unadhani yale magari ya signal jam, watayapeleka wapi??
Tatizo moja la sisi huwa ni hivi mwanzoni watakupa kila aina ya sifa mpaka vitu vya kawaida kama hivyo ila muda ukifika wanavyobadilika huwezi amini.
Magufuli alikuwa anapambana na vigogo wala rushwa na mafisadi wakubwa mno ndio maana alihitaji kulindwa kwa kila namna.Imetulia.
Hakuna mbwembwe za kijeshi za mabunduki tulizozizoea kwa Magufuli.
Kama hujui hukutakiwa kusema "hatima sare kama hizo ". Hao ni PSU (Presidential Security Unit).Na upatikanaji wake si kuchukua tu watu Jeshini kama unavyodhani.Hivi hayo majamaa kwenye hiyo picha ya chini yaliyosimama na mabunduki makubwa, yanatokea nchi gani? Maana hatuna sare za aina hiyo kama sikosei!!
Mtoto haramu kama wewe usiyemfahamu baba yako ni halali kubwabwaja matusi! Ungelelewa na baba yako mzazi ungekuwa na chembe ya heshima!Pumbafu
Hemu soma mtiririko wa hoja basi vipi wewe jinga kabisa.
Nimekupa mfano hekima ikiwa uwone kuwa msafi sio tiketi ya kuwa salama hivyo ulinzi muhimu Instead kujua dhumuni la mfano ni nini....umeshindwa kuelewa unandika sijui Mungu sijui nini Rubbish.
JF kuwe na vigezo vya mtu kujiunga kupunguza kuchoshana mtu haelewi hata Mfano.
Alafu nikufundishe kitu uwelewa wako mdogo sana kuhusu Mungu...Mungu hakulindi kimiujiza ulinzi wa Mungu anapitisha kwa njia za kawaida unahitaji kujilinda na CCTV, Electric Wire, Bunduki nk ndipo Mungu anapitisha ulinzi wake humohumo sio umekaa kahasarahasara useme Mungu anakulinda uwo ni upuuzi.
Kuna jamaa namuona alikuwa pia mlinzi wa JPM Yuko hapo nyuma ya mama.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi kama za mtangulizi wake. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91]
View attachment 1734785
Mbona wanaume wamo pia. Ahaaa!! Hii siyo haki jamani heee!! Huyu ni Rais walinzi wanaume wa nini??Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi kama za mtangulizi wake. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91]
View attachment 1734785
Ndugai naye siku hizi mlinzi wa Rais?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi kama za mtangulizi wake. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91]
View attachment 1734785
Umeandika nini sasaMbona wanaume wamo pia. Ahaaa!! Hii siyo haki jamani heee!! Huyu ni Rais walinzi wanaume wa nini??
Mme wake amekubali ya hivi?? Sasa akiteleza kwa mfano mwanaume atamdakaje Rais?? Yaani aguswe na ziwa la Rais? Ayaaaaa!! Hawatafanya kazi yao hawa!! Watalegea mno!!!
Ke na Me ni hasi na chanya lazima moto uwake hapo.Na mama siyo mzee kiviile!! Hayaaa! Ngoja tusubiri.
Usini-Quote tena we takatakaMtoto haramu kama wewe usiyemfahamu baba yako ni halali kubwabwaja matusi! Ungelelewa na baba yako mzazi ungekuwa na chembe ya heshima!
Daaa wote wazanzibar..Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi kama za mtangulizi wake. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91]
View attachment 1734785
Nani kakwambia hakuna bunduki? Hiyo picha haionyeshi watu watuImetulia.
Hakuna mbwembwe za kijeshi za mabunduki tulizozizoea kwa Magufuli.
Huu ni mwanzo tu, hii ni mapema.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na walinzi wake akiwasili Chato kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Hayati John Pombe Magufuli.
Nimependa jinsi ulinzi wa Rais Samia ulivyo, yaani hakuna mbwembwe nyingi kama za mtangulizi wake. PSU ya Rais Samia naipa kongole kubwa[emoji91]
View attachment 1734785
Hizo ajira utazipata wapi ?? Mashirika yana nguvu kidogo za kuajiri kama nssf,pssf, ma be no n.k bila uchumi kukuwa, kwanini nchi zilizoendelea wanataka sisi tuwe wazalishaji wa Mali ghafi na wao watengeneze final projectRaisi yupo smart Sana huyu , Ila mtangulizi wake kamuachia mzigo mzito Sana , kuna miradi hapo ni ya kupiga chini bila kupepesa macho , na aongeze mzunguko wa pesa mtaani , fungua uhusiano wa kimataifa ,ajiri watu , ongezea mishahara ...... Maisha mafupi haya bhana sio tuanze kutishana tishana tena, mwisho tufe tunasubiriaga Tanzania hewa ya viwanda
Huko ndio kuna vipaji vya michezo wanastahili kiwanjaChato national stadium.
Nyerere bana 🤣🤣Mwalimu alishawahi kusema mkiona Kiongozi amezungukwa na Mabunduki basi mjue mnaibiwa
wettgcxBijbvjivUmeandika nini sasa
Ova
Wamekosa hoja kabisa inaingia akilini mtu anatoka from nowhare anataka SGR ife S.Gorge ife Salenda bridge ife anataka pesa zirundi kwenye akaunti za mabwana zake UswisiHakuna hata mradi mmoja unaopigwa chini, hawa ni watu waliofeli maisha.. miradi mingine mingi zaidi itaanzishwa kwa ajili ya Legacy yake pia.