Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,972
- 30,154
Hii yako ni reply ya Ovyo sana kuwahi kuandikwa, Ulinzi una kiwango chake,Kwahiyo maana ya ulinzi ni kuwa anayelindwa au kujiwekea ulinzi kamfanyia mtu ubaya.
Thinking ya hovyo sana hii kupata kutokea Duniani
Ukizidi sana unatia shaka ba kujiamini kwako.