Hahaha,nimekuelewa sana mkuu!![emoji23][emoji23]Ubongo hauwezi kukaa nje ya kichwa, ila sio kila kichwa kina ubongo
Mtatetea sana.Imagine siku nzima unaimaliza kwa kudai uone cheti cha mwenzio!! non sense weka cha kwako basi
Hivi nikuulize, unaweza kumwambia boss anayetaka kukupa ajira aonyeshe vyeti vyake ili ndio wewe umuonyeshe vyako ndio akupe ajira?Ni kitambo sasa kumekua na kelele za kuulizia cheti cha mtu anayeitwa Bashite as if wanaoulizia walimlipia ada wakati anasoma au walikilipia kule NECTA. Tusipoteze muda jamani ili uweze kuona cheti cha mwenzako sharti ulete chako kwanza!! Narudia tena Kabla ya kudai cheti cha mwenzio unatakiwa uonyeshe cha kwako kwanza ili hoja yako iwe na nguvu, Tena uweke hapa vyote kisha udai vya wenzako!!!
Naamini tumeelewana! Otherwise tuendelee kufanya Kazi!!!
Onyesha Cheti chako hapa!Talking as if una mamlaka ya kutupangia cha kufanya. Sijui umerogwa au ndio tarehe zimekukalia vibaya sasa unabwabwaja sifufu za kwenu.
Kama unajua HAKI HUINUA TAIFA, basi kumbuka kuwa kuna waliochunguzwa na kufungwa kwa kosa kama hilo hilo na sasa wako gerezani.
Kwani wewe hutumii kodi yetu. Kwa akili zako unadhani Kodi ni Mshahara tu. Whatever you do kuna kodi unatumia. Hivi unavyotibiwa wangeweka Pesa unazotakiwa ungeafford. Weka Cheti Hapa wote tunachangia masiha yako/ Unless unaishi Mars!Mtatetea sana.
Cheti changu unataka cha nini? Unanilipa mshahara?
Ila mimi nina haki ya kudai cheti cha mtu anayetumia kodi yangu na ya ndugu zangu.
You are hallucinating.Kwani wewe hutumii kodi yetu. Kwa akili zako unadhani Kodi ni Mshahara tu. Whatever you do kuna kodi unatumia. Hivi unavyotibiwa wangeweka Pesa unazotakiwa ungeafford. Weka Cheti Hapa wote tunachangia masiha yako/ Unless unaishi Mars!
mbona umeshindwa kwa bashibashi mkuu itakuwa huyo?Nilidhani unaweka vyeti vyako kumbe unatalii tu
Imagine siku nzima unaimaliza kumtetea mtu anayestahili kuwa jela kama yule muuguzi, utakuwa na akili kweli wewe? Umejiunga JF juzi ili tu umtetee Bashite? Nenda zako huko...Imagine siku nzima unaimaliza kwa kudai uone cheti cha mwenzio!! non sense weka cha kwako basi
Alifanyaje kwani?Kwa post hii nmmiss ghafla marehemu Masaburi!
....teh hee hee,umeweka ugoko umepewa chuma!You are hallucinating.
You can't even tell black from white.
No need to engage in an argument with you.
Unapompekua mtuhumiwa, lazima akupekue wewe kwaza. Yaani inatokea hivi? Hakimu anafunga mtu aliyetenda kosa analolifanya yeye. Traffic Police anamuomba dereva aoneshe leseni yake wakati yeye anaendesha bila leseni. Huo mfano ni miongoni mwa madhaifu ya kiubinafsi na kinafiki ya binadamu hasa waAfrika.Kwani serikali inapodai vyeti vya watumishi wa umma, huwa inaleta cheti chake kwanza?
sijui wana lipwa sh ngap yaan ukiona mtu kaleta uzi wa kumtetea bashite chek join date yake wengi ni wa february wakiongozwa na mwenyeji wao #*Cocochanel sijui wanatumia masaburi kufikiria??
Kwahyo wale wakaguzi wanaopitaga kwenye maofisi ya serikali kukagua vyeti wanakuenyesha vyeti vyao? Au rais alivyoagiza ukaguzi alikuonyesha cheti chake? Ebu acheni ujinga wakutetea upuuzi kama umetumwa na bashite mwambie jamaa awakuelewi labda uende Facebook ukawaambie wapuuzi wenzio hukoNi kitambo sasa kumekua na kelele za kuulizia cheti cha mtu anayeitwa Bashite as if wanaoulizia walimlipia ada wakati anasoma au walikilipia kule NECTA. Tusipoteze muda jamani ili uweze kuona cheti cha mwenzako sharti ulete chako kwanza!! Narudia tena Kabla ya kudai cheti cha mwenzio unatakiwa uonyeshe cha kwako kwanza ili hoja yako iwe na nguvu, Tena uweke hapa vyote kisha udai vya wenzako!!!
Naamini tumeelewana! Otherwise tuendelee kufanya Kazi!!!