Joblee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 1,470
- 1,598
Unakoelekea unaweza ku idai cheti cha kifoNa wewe kumbe unadai cheti cha Bashite? Onyesha chako hapa au hujui kusoma?
Unakoelekea unaweza ku idai cheti cha kifoNa wewe kumbe unadai cheti cha Bashite? Onyesha chako hapa au hujui kusoma?
Hicho ni cheti gani na kimetolewa na nchi gani?
Ni kitambo sasa kumekua na kelele za kuulizia cheti cha mtu anayeitwa Bashite as if wanaoulizia walimlipia ada wakati anasoma au walikilipia kule NECTA. Tusipoteze muda jamani ili uweze kuona cheti cha mwenzako sharti ulete chako kwanza!! Narudia tena Kabla ya kudai cheti cha mwenzio unatakiwa uonyeshe cha kwako kwanza ili hoja yako iwe na nguvu, Tena uweke hapa vyote kisha udai vya wenzako!!!
Naamini tumeelewana! Otherwise tuendelee kufanya Kazi!!!
[emoji23]Bashite tukutane wapi tuonyeshane vyeti ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hicho hapo cheti changu. Omba kingine.![]()
Tangu lini jambazi akakubali km ameiba? Utakuwa mke wa Bashite wwAcheni akili za kipumbavu hivi cheti gani kinakuwaga hivyo inamaana hata cheti chako ndo kipo hivyo? Cheti hakina hata namba, saini hata moja hakina wala nembo ya baraza LA mitihani. Hebu acheni kutuwekea upumbavu wenu kama ww ni msukule wa gwajima kila unaloambiwa na gwajima unalisapoti usituletee sisi.
Unakoelekea unaweza ku idai cheti cha kifo
Ulitaka tukutane wapi? weka cheti hapa[emoji23]
Ni kitambo sasa kumekua na kelele za kuulizia cheti cha mtu anayeitwa Bashite as if wanaoulizia walimlipia ada wakati anasoma au walikilipia kule NECTA. Tusipoteze muda jamani ili uweze kuona cheti cha mwenzako sharti ulete chako kwanza!! Narudia tena Kabla ya kudai cheti cha mwenzio unatakiwa uonyeshe cha kwako kwanza ili hoja yako iwe na nguvu, Tena uweke hapa vyote kisha udai vya wenzako!!!
Naamini tumeelewana! Otherwise tuendelee kufanya Kazi!!!
Ulitaka tukutane wapi? weka cheti hapa
Hili nililiona nikaamua kujituliza na maji baridiView attachment 489129
wanao mteta bashite karibu wote waliopo umu JF ni wale walio Join kuanzia "**February** na wana endelea kujoin kuja kumtetea Kilaza wenu std7
vipi *lemutuz amekupa sh ngap? uje kumtetea swahiba wake uku maana yeye amekimbia anasubir upepo utulie ndo alete mshati wake ule kama turubai...
sijui wana lipwa sh ngap yaan ukiona mtu kaleta uzi wa kumtetea bashite chek join date yake wengi ni wa february wakiongozwa na mwenyeji wao #*Cocochanel sijui wanatumia masaburi kufikiria??Hili nililiona nikaamua kujituliza na maji baridi
nyie ndio walewale kutwa nzima kwenye mitandao kulia lia " weka cheti bashite" na upuuzi mwingine kumbe ata haujui tofauti ya cheti na result slip. ukute we mwenyewe cheti huna.. Hicho hapo cheti changu. Omba kingine.![]()
Hichilo ni cheti changu kinakuuma nini? Hata hivo mimi ni form four leaver tu.nyie ndio walewale kutwa nzima kwenye mitandao kulia lia " weka cheti bashite" na upuuzi mwingine kumbe ata haujui tofauti ya cheti na result slip. ukute we mwenyewe cheti huna.
Vyako viko wapiNilidhani unaweka vyeti vyako kumbe unatalii tu