Huu ndio msaada kwa anayeulizia Cheti cha mwenzie!!!

Huu ndio msaada kwa anayeulizia Cheti cha mwenzie!!!

sikunyingine unapokuja humu Jf uwe umejipanga na uwe na details za kustosha usikurupukie mambo ninge kushauri kwanza ungetulia, ugeni ukakutoka ukaijua mitaa ya JF ndio uwanze sasa kuleta huo ujingaujinga wako humu

Naona unarukaruka tu onyesha cheti chako hapa hata cha darasa la 7 tu.
 
Weka cheti chako hapa tuone!!
9a76bf8ca10d2623ebea9b03550b7584.jpg
. Hicho hapo cheti changu. Omba kingine.
 
Ungemuuliza jpm alipomwambia mkurugenzi wa mkinga aonyeshe cheti chake vizuri kwenye kamera ili waandishi wa habari wachukue vizuri yeye alionyesha chake?
Otherwise wewe ni wale wale mwenzie na mkolomije
hahahaha agiza kinywaji nakuja
 
Imagine siku nzima unaimaliza kwa kudai uone cheti cha mwenzio!! non sense weka cha kwako basi
Bi Mkubwa, hapa uko JF sehemu yenye watu wanaofikiri na sio kufikiriwa. Akili zako zinatosha kuamua ugomvi wa watoto tu, '...na wewe mpige'. Hapa issue ni tofauti. Anayedaiwa cheti anadaiwa sababu kuna jambo la jumla linalouhusu umma kuhusu hicho cheti chake. Ndio maana hakuna mjadala wa cheti chako hapa, maana wewe hatuna tunachohitaji kwako, so do I.

Non sense, weka cha kwako...kwani mimi ninaomba public post?
 
Acha fujo Weka vyeti vyako hapa
Wengi tu wamezungusha, tena wale tuliosoma miaka ya DAB wengi tu form iv wana matokeo mabaya mno. Angalau kuanzia 2005 ndio kiwango cha ufaulu kimeongezeka.

Nakumbuka miaka ile shule nzima hakuna div one, two za kuhesabu the rest ni three, four na zero.

Ukiwaambia waweke vyeti hapa watakimbia. Hata hivyo, swala la kuiba/kununua vyeti ni jinai, DAB achunguzwe hakuna namna. Tumesota sana shuleni, kusikia mmoja katumia akili za mwenzake kuyafikia mafanikio lazima roho zituume.
 
Nimependa

Naona mapovu yanawatoka wakijijua vyao yatatupofua macho, kwasababu hayaendani na wanayoandika humu.

Ha ha haaaaaaaa
 
Haufananii na 7MB sasa sijui ndio unaamka? Usingizi haujaisha lala
 
Buku 7 zinafanya kazi. ACHA UJINGA WA BASHITE WW? Au ndiyo mke wa Bashite nn? Ccm ni chama cha majambazi kweli yaan hamuoni hata aibu kumtetea muhalifu? Watu wamefungwa kwa kosa la kubashitelize vyeti halafu mke Bashite unakuja kutetea. Huu ni upuuzi tu. Huyo pole pole anayewapa hela ya kushinda mitandao kutetea ujinga anawaharibu sana. Mnaonekana wa ovyooo.
TANGU LINI POMBE IKALETA MAENDELEO?
 
9a76bf8ca10d2623ebea9b03550b7584.jpg
. Hicho hapo cheti changu. Omba kingine.
Acheni akili za kipumbavu hivi cheti gani kinakuwaga hivyo inamaana hata cheti chako ndo kipo hivyo? Cheti hakina hata namba, saini hata moja hakina wala nembo ya baraza LA mitihani. Hebu acheni kutuwekea upumbavu wenu kama ww ni msukule wa gwajima kila unaloambiwa na gwajima unalisapoti usituletee sisi.
 
Acheni akili za kipumbavu hivi cheti gani kinakuwaga hivyo inamaana hata cheti chako ndo kipo hivyo? Cheti hakina hata namba, saini hata moja hakina wala nembo ya baraza LA mitihani. Hebu acheni kutuwekea upumbavu wenu kama ww ni msukule wa gwajima kila unaloambiwa na gwajima unalisapoti usituletee sisi.
Mimi sijasema cheti hiki ni cha MTU mwingine. Nimesema hiki ni cheti changu. Povu la nini? Huu ndiyo upumbafu ambao huwa sitaki. Don't quote me any more
 
Back
Top Bottom