mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,042
Mambo yako yapi? Lazima upime mizania sawa sawa!Yaani usifanye mambo yako kisa mtu mmoja tu aliyeamua kumvamia mwingine kwa ajili ya ego yake?
Agenda ya kuhitaj misaada haikwepeki! Pia mzungu sio mjinga eti umkwepe kwa kukaa ndan kwako unless otherwise usimtegemee kwa chochote! Baki kwako usiende kwao lkn agenda zao watakutupia mezan na uzifanyie kaz.Huu ni muda wa kutulia nyumbani!! Watakuja wageni wengi kipindi hiki wakiwa na agenda ya kuilaani Urusi. Ni rahisi kuwa na ubavu wa kukataa ukiwa kwako kuliko ukiwa ugenini hasa ukiwa na agenda ya kuhitaji misaada!
Samia anadanganya tu, how on earth anaenda matekani sasa, there is almost vita ya 3 ya dunia. Thanzania is facing very high inflation, yeye aenda matekani kula bata. This was really a very poor choice, kwenda shopping!Huu ni muda wa kutulia nyumbani!! Watakuja wageni wengi kipindi hiki wakiwa na agenda ya kuilaani Urusi. Ni rahisi kuwa na ubavu wa kukataa ukiwa kwako kuliko ukiwa ugenini hasa ukiwa na agenda ya kuhitaji misaada!
Mkuu umeongea vizuri sana, hongera.Ila naomba niseme yafuatayo:Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine. Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.
Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.
Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini). Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Dunia kote kuna matatizo, is Biden really interested in meeting her? Where is the free money. Nchi haiendelei kwa mikopo na misaada, poor thinking.Muache mama akafuturu burger za Ritz hotel. Vita ya urusi na ukraine itajijua yenyewe.
Akija atakuja na vijipesa vya mkopo nafuu na maisha yaendelee.
Nasikia Akirudi tu bei za vitu zinashuka bei
Juz si umeona kinana akitembelewa na balozi wa marekaniMkuu umeongea vizuri sana, hongera.Ila naomba niseme yafuatayo:
1.Samia waliompa ajira kabla hajaingia kwenye siasa ni akina Bill Gates a.k.a mabeberu.Leo atawezaje ku-stand against them,haiwezekani,ni lazima alipe fadhila.
2.Samia ni mwanamke,essentially she is a weaker sex compared to man,you know it, I know it,hata kama utakataa. Satan knows it too,na ndio maana he is forcing through his 50/50 agenda.Anajua Woman are easily manipulated than men and so he knows with Women in power his agenda will pass through.Having said that,I am sure the outcome of her Washington trip is obvious,and that is she will not be able to stand against the wishes of the American Government,which is infact Satans' right hand arm.
Finally,why make the trip at this very critical moment.Whether she has been invited by Washington or an in-house arrangement by the Tanzanian Goverment,whatever the case may be,this is a gross miscalculation on her part and the GoT.
You couldnt have said it better.Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua kuwa neutral/kutokuwa na upande katika mzozo wa Urusi na Ukraine.
Kwa Marekani ukiamua kutokuwa na upande unahesabika kuwa uko upande wa Urusi, na inafanya Kila jitihada kuyatisha mataifa yenye msimamo huo Ili yailaani Urusi! Kwa hiyo ukiandaa mazingira ya kukutana na Marekani kwa Sasa lazima ikushinikize kuilaani Urusi.
Sidhani Kama mama atakuwa na ubavu wa kuhimili shinikizo la Marekani katika jambo hili. Anaweza kujikuta amesema jambo ambalo hakutegemea akiwa chini ya shinikizo. Sidhani kama ataweza kuhimili Kama India na Afrika ya kusini zilivyoweza kuhimili.
Afrika hatuwezi kulaani Nchi ya Urusi iliyokuwa mstari wa mbele Sana kwenye harakati za upatikanaji wa uhuru kusini mwa afrika-(Zimbambwe, Msumbiji, Botswana, Angola, Namibia na Afrika ya kusini).
Wakati huo wapigania uhuru akiwemo Mandera walikuwa wanaitwa magaidi na Marekani!! Chonde chonde Samia Mungu akutie nguvu uwatolee nje mabeberu huko Marekani!
Fikra za utegemezi hazitatuondolea kero za maendeleo. Swali la msingi tangu tumepata uhuru tumekuwa tukitegemea na kupewa misaada, je, imetuondolea umaskini?Agenda ya kuhitaj misaada haikwepeki! Pia mzungu sio mjinga eti umkwepe kwa kukaa ndan kwako unless otherwise usimtegemee kwa chochote! Baki kwako usiende kwao lkn agenda zao watakutupia mezan na uzifanyie kaz.