Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Mtanange unaendelea, Nani ataacha Ndala?
Je Lema atapoteza ushawishi wake ndani ya Kamati kuu? Ni Hapana anaungwa mkono ma wengi kuliko heche
Je Yule anaeuza habari kwa Yule Dada?
Je yule Dada anachezewa akili na Vijana wa bawa?
Haha, Chadema wasipotegua huu mtego Rasmi inaenda kwa Cuf.
Utasikia Chadema ina ofisi mbili.
Siipendi Chadema ila nataka bado chadema iwepo tupate watu wa kuwashulikia
Hahaha hahaa.