Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

Habari wadau,

Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.

Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.

maduka mengi ya nguo pale kinondoni studio kona ya kwenda mwananyamala wanauza zaidi ya nguo,maidi azan wengi wapo pale ila km ni mjinga mjinga huwezi kugundua lolote pale.
 
Mtihani wa kufatilia maisha ya mtu nili feligi. Bwana kuna watu wanapenda fatilia maisha ya watu acheni tu alaf mara nyingi ni kwa ubaya tu.

Bwana sikieni hapa duniani hakuna kitu muhimu kama nidhamu ya pesa (matumizi). Nakubaliana na RRONDO 500%.

Ungejua hawa wauza unga wanavyoaribu jamii usingesema hayo maneno,hakuna mtu anayefatilia maisha ya mtu kiubaya,wangapi wanafanya biashara zao zisizo na shaka hapa town? yaani kuuza nguo za kupata wateja sikukuu mpaka sikukuu ndio uwe tajiri?
 
Last edited by a moderator:
Ungejua hawa wauza unga wanavyoaribu jamii usingesema hayo maneno,hakuna mtu anayefatilia maisha ya mtu kiubaya,wangapi wanafanya biashara zao zisizo na shaka hapa town? yaani kuuza nguo za kupata wateja sikukuu mpaka sikukuu ndio uwe tajiri?

Ni kweli.
Ila binafsi na suggest tusihukumu mapema, afatiliwe kama mafanikio yake yana uwiano na anachofanya i.e. kodi anayolipa au kama ni mtu wa kuchukua mikopo....maana mtu unaweza kutanua biashara yako ikawa kubwa tu kwa kutumia mikopo/kuingia ubia na wadau kadhaa i.e. suppliers, property owners etc utajuaje. Otherwise sishtushwi sanaaa na mambo anayofanya.
 
Ungejua hawa wauza unga wanavyoaribu jamii usingesema hayo maneno,hakuna mtu anayefatilia maisha ya mtu kiubaya,wangapi wanafanya biashara zao zisizo na shaka hapa town? yaani kuuza nguo za kupata wateja sikukuu mpaka sikukuu ndio uwe tajiri?
Biashara ya nguo inalipa sana..na kama hujui ilikuwa moja vyanzo vikuu vya biashara ya watumwa huko America na ni kwa sasa ni moja ya waajiri wakubwa wa wahamiaji haramu.
 
Pole sana
Acha kuchafua watu kwenye mitandao sijui kama unamjua vizuri Husein huyo jamaa ana miaka zaidi ya 15 yupo kariakoo anafanya biashara zake hapo Kinondoni ana miaka mutatu tu au minne unajifanya unawajua watu wote acha roho ya wivu hiyo gari ndiyo unakufanya uropoke hizo Vogue za Hong Kong tu zimejaa used dola 10,000 tu tafuta kazi wenzako wanapambana wewe unapambana kwenye mitandao ya kijamii.
 
Ungejiuliza ameanza muda gani hio biashara hata asiweze kupata huo "utajiri" unaouzungumza.
 
Asikwambie mtu biashara ya ngada inalipa sana, Sema sijapata fursa..............
Watoto wadogo wa juzi wametoka kimaisha huku mitaa ya magomeni...........
High risk high income........
Still interested?
 
ile list ya Makonda imetengenezwa kwa kutumia hisia za watu kutoka huko mtaani kama huyu aliyeanzisha hii thread.

watu wanamuona jamaa fulani mtaani mambo yake yapo vizuri....wanaanza oh mwizi, fisadi, drug dealer, etc.

hata Makonda mwenyewe katajwa, tena ndani ya bunge. so, hana tofauti na akina Hussein Pamba Kali kama kigezo ni hisia tu.
 
Jishi la polisi linafanya kazi kwa hisia????kweli??kama maslahi yako yameguswa atleast have some respect kwa jesh letu
 
ile list ya Makonda imetengenezwa kwa kutumia hisia za watu kutoka huko mtaani kama huyu aliyeanzisha hii thread.

watu wanamuona jamaa fulani mtaani mambo yake yapo vizuri....wanaanza oh mwizi, fisadi, drug dealer, etc.

hata Makonda mwenyewe katajwa, tena ndani ya bunge. so, hana tofauti na akina Hussein Pamba Kali kama kigezo ni hisia tu.
Jishi la polisi linafanya kazi kwa hisia????kweli??kama maslahi yako yameguswa atleast have some respect kwa jesh letu
 
Biashara ya nguo inalipa sana..na kama hujui ilikuwa moja vyanzo vikuu vya biashara ya watumwa huko America na ni kwa sasa ni moja ya waajiri wakubwa wa wahamiaji haramu.
Biashara ni Biashara tu kiongozi,Ukweli Wauza Nguo % Kubwa yao ni wauza Poda,Hiyo ni Gear tu ya kusafiri,We unasafiri bila na bizness si utastukiwa? Ndio maana wanazuga na maduka ya nguo,Wapi Zizzou? Mbona Amefirisika kama Biashara ya nguo inamlipa?
 
Back
Top Bottom