Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
anauza na viatu pia
Ngoja aje willium J. malecela atasema unamchafua sponsors wake!!
Acha kuchafua watu kwenye mitandao sijui kama unamjua vizuri Husein huyo jamaa ana miaka zaidi ya 15 yupo kariakoo anafanya biashara zake hapo Kinondoni ana miaka mutatu tu au minne unajifanya unawajua watu wote acha roho ya wivu hiyo gari ndiyo unakufanya uropoke hizo Vogue za Hong Kong tu zimejaa used dola 10,000 tu tafuta kazi wenzako wanapambana wewe unapambana kwenye mitandao ya kijamii.
habari wadau,
kuna jamaa anaitwa hussein pamba kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na range rover vogue ya kisiasa.
Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za hpk ndugu tipo zizzou fashion, ila naye amedondokea pua.
relax kijana hakuna aliyechafuliwa hapa,kuwa na miaka mingi kwenye biashara si kigezo cha kusema kwamba inatajirisha,tumeuliza ni nguo tu na kuuza viatu tu?
mkuu...sijui unafanya shughuli gani,lakini thread yako inawakilisha mawazo ya wavaa ytai wengi. Mimi ningekushauri kitu kimoja fanya utafit wako, nenda kariakoo kama unamjua mtu anauza nguo kakae dukani kwake kariakoo kwa masaa kadhaa halafu angalia biashara inavtyokwenda utashangaa na hutaamini hawa wauza nguo wanavyotengeneza pesa.
Najua wengi mtasema kama inalipa hivyo kwanini wewe au yule asifanye,biashara sio ya kila mtu tena biashara ya nguo iko very complicated, mimi nafanya biashara naamini siku moja itakuja thread kama hii humu kwa watu kuhoji ni biashara ile ile au kuna kingine.
Nina jamaa yangu yuko kariakoo,nilimuona wakati anaanza kuuza nguo,alianza na hela ambazo wavaa tai wengi wanakopa kununulia magari sasa hivi jamaa analeta mzigo wa $$$$$$$$$$$$ nyingi sana. Nilijaribu kuingia ila iko too complicated inahitaji kushikwa mkono,kujifunza nguo na sio nguo unazopenda wewe bali nguo wanazopenda watu,simple kusema ila sio rahisi.
Hao akina hpk,robby one ni wadogo sana kuna watu wanauza nguo balaa,mtu alianzia kutandaza nguo mtaa wa kongo sasa hivi ana bilions tzs,kama humjui lazima useme ni ngada,watu wanajituma mkuu na nguo zinalipa,wanauza nguo mara hata 20 yea bei wanazonunua jkariakoo.
Ila sasa hivi na serikali ya jpm hata mimi nawasubiri nione biashara yao itaendaje maana enzi za hsc wamepiga sana hela, vitu kama vogue kwa hao jamaa ni kawaida sana.
Muuliaze lara 1 anatamani aache kazi afanye hii biashara ila ina tricks zake zinampiga chenga
Itafahamika hata Tippo Zizzou Fashion alikuwa Hivi Hivi na Biashara ya kuuza nguo na viatu sasa Hivi limebaki jina.
This is very personal mshkaj. Anaweza kutumia hata miaka 50 kujenga nyumba yake. Achana na personalitieshuyo ----- tu kazi yke kumpamba makonda n kujisifia anaingiza mabilioni wakati kashindwa malizia pagala lake nyumba inajengwa miaka 20 utafikiria daraja la dar 2 znz
Itafahamika hata Tippo Zizzou Fashion alikuwa Hivi Hivi na Biashara ya kuuza nguo na viatu sasa Hivi limebaki jina.
Unataka kuniambia TISS hawajui Anachokifanya Huyo HPK? Maeneo ya Ekenywa ghorofani hahahaaa,Ngada inamaliza sana nguvu kazi ya taifa serikali itumbue majipu haya ya watu wanaoua nguvu kazi,HPK kamvua mtu uwanja near Tegeta Complex kapiga Duka la Kufa mtu,ukiangalia investment aliyoifanya na pamba alizoweka mle dukani ukipiga return yake ni vichekesho,kweli jamaa amejivika mwamvuli wa muuza pamba.
umeonaee, kama mbunge wa zamani wa kino anazugia uza uza ya magari
hivi kuzaliwa magomeni mikumi ndio kuwa mtoto wa mjini,na sie tuliozaliwa pale manhattan au mitaa ya brooklyn tujiiteje sasa?
Hizo yard za magari ni zuga tu, hayo nagari ndiyo container ya sembe kutoka huko ughaibuni.
Utashangaa gari ya 10m unaweza uziwa 6m sasa na wewe kafunfue yard uagize nagari uuze uone faida yake inavyolipa?
Utakimbia mji mchana kweupeee
**********
duuuh aiseee watu wana technic balaa...sasa hapa nilikuwa nawaza tu kwamba hayo madawa yanawekwa kwenye boneti? ndani ya seat cover? uvunguni mwa gari ama? halafu ukizingatia gari lipo ndani ya kontena....kwel hii biashara iko very talented....kuiua ni ngumu.
**********
duuuh aiseee watu wana technic balaa...sasa hapa nilikuwa nawaza tu kwamba hayo madawa yanawekwa kwenye boneti? ndani ya seat cover? uvunguni mwa gari ama? halafu ukizingatia gari lipo ndani ya kontena....kwel hii biashara iko very talented....kuiua ni ngumu.
Jina lake lingine ni maulid ndo oficial name yake so migration hawajui jina la hussein
Kumbe ile sehemu yenye duka pale tegeta ni yake. Duuu, HPK noma.
Hayo yanaitwaga maduka ya kunawia uso yaani asubuhi na wewe unaamka unaoga/unanawa uso unawahi ofisini.
Fungua na wewe la kwako uone inavyolipa
Una busara kiongozi. Bora kidogo cha kila siku kuliko kikubwa cha siku moja.usilolijua ni sawa na usiku wa giza
kama wewe mtoto wa magomeni Waulize wakina keto (rip)wako wapi sahv
Usibabaike na maisha ya muda mfupi na mara nyingi ktk mboo ndefu hizo pumzi huwa inawaishia wengi wao wanaingia ktk utumiaji
muulize smbdy Beka mwanafunzi wote hao watoto wa magomeni na walikuwa wanaonekana wame toka kimaisha lkn mwisho wa siku ukiwaone ni balaaa