usilolijua ni sawa na usiku wa giza
kama wewe mtoto wa magomeni Waulize wakina keto (rip)wako wapi sahv
Usibabaike na maisha ya muda mfupi na mara nyingi ktk mboo ndefu hizo pumzi huwa inawaishia wengi wao wanaingia ktk utumiaji
muulize smbdy Beka mwanafunzi wote hao watoto wa magomeni na walikuwa wanaonekana wame toka kimaisha lkn mwisho wa siku ukiwaone ni balaaa
Mkuu nlisharekebisha sema nlisahau kufanya edit.....si unajua mambo ya kutofanya spellcheckSamahani bro, sio Mboo ndefu! Ni mbio ndefu, over!
Mkuu nlisharekebisha sema nlisahau kufanya edit.....si unajua mambo ya kutofanya spellcheck
Umesoma vzr thread yangu huyo robby marro nimemtaja wapi.?? Kwanza ndio nani ndio namsikia leo mimi nimemtaja ROBBY ONE FASHION jina halisi ni robert i think huyu ni kijana mdgo wa KIUME ana maduka kadhaa dar es salaam je we ni mkazi wa dar km humjui basi huishi dar...next tym usikurupuke
We kweli tofali mbona unajifanya kuwajua sana vijana wa mjini wanaojituma??
Jitahidi na wewe one day tusikie TOFALI SUPER FASHION... usipojipanga hapo mjini utaishia kufukunyua "habari -----" za vijana wenzio waliofanikiwa!!
Nimekudharau sana tofali kama jinsi walivyokudharau Makomandoo wa JWTZ kwa kukuvunja kwa kichwa na nakoz!
Wa kwanza huyu:Nnaona na wewe kama umeanza vile kutupa jiwe kwenye giza likimpata mtu wataanza kuja kuropoka huku
Washawishi kwanza Wanadaslam(wateja) watembee uchi mwaka mzima ndo tutajua kama jeuri yake ni hayo maduka. Vinginevyo mkuu unatuchosha vichwa tu!
Sana sana cha kukushaauri ni kuachana na mambo ya mtu jali hamsini zako.
Mkuu huwa nasema Hata kma utalindwa na kusujudiwa licha ya kwamba jamii inajua fika mtu fulani anauza madawa!Tabia ya kusema eti kila mtu aangalie hamsini zake inaligharimu taifa hili. Watu wanajua kabisa kwamba fulani anakwepa kodi au fulani anauza unga, ila kila mtu anashika hamsini zake. Ngaja pale mwanao awe teja ndiyo utajua ni hamsini zako au za hussein. Nachukia sana maneno WIVU WA KIKE na SHIKA HAMSINI ZAKO.
Ukishapata taarifa za kijana anaitwa jina maarufu la KAZI pale mwananyamala kwa mama Zakaria utapata ukweli wote was Hussein. KAZI ni mmoja ya wauza unga maarufu eneo la mwananyamala, ni part of Hussein business.hussein mkangala mtoto wa mjini kazaliwa magomeni mikumi mtaani kwetu anajulikana kuwa ni muuza unga ila hakuna mwenye ushahidi alianza na kaduka kinondoni manyanya,sasa ana maduka kariakoo,kinondoni,sinza na tegeta.namfahamu vizuri sana
Ukishapata taarifa za kijana anaitwa jina maarufu la KAZI pale mwananyamala kwa mama Zakaria utapata ukweli wote was Hussein. KAZI ni mmoja ya wauza unga maarufu eneo la mwananyamala, ni part of Hussein business.
Washawishi kwanza Wanadaslam(wateja) watembee uchi mwaka mzima ndo tutajua kama jeuri yake ni hayo maduka. Vinginevyo mkuu unatuchosha vichwa tu!
Sana sana cha kukushaauri ni kuachana na mambo ya mtu jali hamsini zako.
umeonaee, kama mbunge wa zamani wa kino anazugia uza uza ya magariUkweli ni "hizo biashara ni Zuga tu"
Ovaaaaa
Kakamatwa huko buruda Italy, kuna wakati huyo dem alikuwa anaenda sana kwa Pele alipiga trip kama 4 hivi alikuwa ana buruzaaaa mzgo na kuja nao bongo.
Narudia tena hata kama tanzania utalindwa lkn iko siku nje huko utanasa tu!
Tabia ya kusema eti kila mtu aangalie hamsini zake inaligharimu taifa hili. Watu wanajua kabisa kwamba fulani anakwepa kodi au fulani anauza unga, ila kila mtu anashika hamsini zake. Ngoja pale mwanao awe teja ndiyo utajua ni hamsini zako au za hussein. Nachukia sana maneno WIVU WA KIKE na SHIKA HAMSINI ZAKO.
Jina lake lingine ni maulid ndo oficial name yake so migration hawajui jina la hussein