Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

...acheni ukuda ninyi!...majipu ya kuanza nayo yapo serikalini huko!miaka yote ya uhuru washapiga sana,tuanzie huko!
#AcheniHusda!
Blalfuu!
 
Huu muda munaoshinda kuwapiga majungu vijana wenzenu....kama mngeutumia kwa kuwaza na kuwazua si mngebuni hata mradi wa pipi.....
 
...acheni ukuda ninyi!...majipu ya kuanza nayo yapo serikalini huko!miaka yote ya uhuru washapiga sana,tuanzie huko!
#AcheniHusda!
Blalfuu!

Hata magufuli kuwatemesha tra na bandari ni ukuda tu,kufuta safari za nje ni ukuda tu,kufuta sherehe za uhuru ni ukuda tu,
 
Duh! Inawezekana au la
Maana % 60 ya madada wanaomiliki maduka ya nguo kinondoni wengi wao ni mapunda na wanatumika kupeleka ngada china, na kuna wengine wanatumia mtaji yao wenyewe.
Siku zote huwa nasema Hata kama hapa tanzania utalindwa lkn iko siku huko nje utanasa tu kukamatwa na kufungwa.
Mfano fatma mchina dem wa tevez alikuwa na duka pale konondoni....Ila alienda Italy na huko wamemdaka na yuko ndani!
Narudia tena % 60 ya maduka ya nguo yanayomilikiwa na wadada na wamama wote ni wabebaji unga au wanajihusisha na ngada
Na wengi wao wamekulaa vitungu china, Brazil, south afrika etc

Ovaaaa

sio% 60 sema %88
 
Tuache utani nguo zina faida na hasa walipokuwa wanakwepa kodi. Bei ya nguo uchinani kwa mafungu $6. Sasa hivi watu wanalipa kodi ipasavyo simu na nguo madukani ama bidhaa zingine zote zitapanda bei.
Mdau juu hapo HPK tegeta ame kodi kwa muda mrefu kidogo pale ni mali ya mtu mwingine.
 
Itafahamika wapi Chonchi? Wapi Jack Patrick? Wapi Binti kiziwi?
 
Hata magufuli kuwatemesha tra na bandari ni ukuda tu,kufuta safari za nje ni ukuda tu,kufuta sherehe za uhuru ni ukuda tu,

...tena we mkuda acha kinyekunyeku!....umeanza kupigwa leo wewe ndezi?....nyoka wapo out of frustration!...who's to blame??...paza sauti kwanza kwa walofanya maisha ya wengi kuwa duni hadi kuwa manyoka kupoza stress!
 
hussein mkangala mtoto wa mjini kazaliwa magomeni mikumi mtaani kwetu anajulikana kuwa ni muuza unga ila hakuna mwenye ushahidi alianza na kaduka kinondoni manyanya,sasa ana maduka kariakoo,kinondoni,sinza na tegeta.namfahamu vizuri sana

hivi kuzaliwa magomeni mikumi ndio kuwa mtoto wa mjini,na sie tuliozaliwa pale manhattan au mitaa ya brooklyn tujiiteje sasa?
 
Yaani Bongo ukifanikiwa freemason,unauza unga! ukiwa maskini shida,haya tajiri akiishi simple usafiri wa kawaida,utaskia ohhh mashart ya Mganga..jamani hebu kama vp kila m2 afate yake..Bongo kila k2 ni shida jaman!
 
Tuliaa wewe wauza powder wote wanajulikana
Hizo biashara zao ni geresha tu
 
Mi naona wengi wao ni wa dini yetu ya haki. Samahani kama maoni yangu yako tofauti na halo halisi ilivyo
 
Yaani Bongo ukifanikiwa freemason,unauza unga! ukiwa maskini shida,haya tajiri akiishi simple usafiri wa kawaida,utaskia ohhh mashart ya Mganga..jamani hebu kama vp kila m2 afate yake..Bongo kila k2 ni shida jaman!

Utajiri kwa kuchuuza mitumba? Nguo zina Faida mpaka unaweza kununua Vogue? B12 mwaka wa 8 huu anauza nguo Born2shine kaishia kununua gx 110 tu na hapohapo analipwa mshahara+elfu 50 za ma-undergrounds,baada ya kujua siri ya mchezo sasa namuona yupo na salahaa wa HSC wakisafiri wote ngoja tuone.
 
Takwimu nliyoifanyaga kinondoni
Ktk watu 10 wakipita watu 6 hapo ni mateja

Ovaaaa
 
Robby Morro ni mdada anaejitambu hawezi beba sembe yule! Yupo vizuri upstair na isitoshe ukiachana na ulimbwende aliojaaliwa nao, kipindi anaanza biashara alikuwa muajiriwa katika taasisi moja ya fedha hapo mjini na ndiko alipata mtaji wa biashara zake!
Ndiyo maana nasisitiza hapa, kuna watu wametoil kitambo wamejipanga wakapangika hivyo acheni kutumbua mimacho yenu ya husda pindi waamuapo kutumia pesa zao hadharani!

Kwani Robby One anaemiliki ni mdada???????
 
Utajiri kwa kuchuuza mitumba? Nguo zina Faida mpaka unaweza kununua Vogue? B12 mwaka wa 8 huu anauza nguo Born2shine kaishia kununua gx 110 tu na hapohapo analipwa mshahara+elfu 50 za ma-undergrounds,baada ya kujua siri ya mchezo sasa namuona yupo na salahaa wa HSC wakisafiri wote ngoja tuone.
Acha kuchafua watu kwenye mitandao sijui kama unamjua vizuri Husein huyo jamaa ana miaka zaidi ya 15 yupo kariakoo anafanya biashara zake hapo Kinondoni ana miaka mutatu tu au minne unajifanya unawajua watu wote acha roho ya wivu hiyo gari ndiyo unakufanya uropoke hizo Vogue za Hong Kong tu zimejaa used dola 10,000 tu tafuta kazi wenzako wanapambana wewe unapambana kwenye mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom