Seif Mselem
JF-Expert Member
- Oct 16, 2023
- 257
- 441
...Mwaka 1990 Nchini Marekani...
.
Alikwepo Mbunifu mmoja Hatari sana wa Mitindo ya Viatu vya KIKE
.
Aliyejulikana Kama...
.
"Steve Madden"
.
Kwa Kipindi Kile...
.
...Steve Madden alikuwa Akiishi ndani ya Gari lake, Huku akiendelea na Kazi yake ya ku Design Viatu...
.
Akiwa bado Anasumbuliwa na Changamoto nyingi kwenye Biashara yake
.
Lakini...
.
Bila kukata Tamaa alikuwa anapambana Usiku na Mchana
.
Na kitu pekee Alichokuwa nacho kwa Kipindi chote cha Maisha yake Ilikuwa ni...
.
MAARIFA na UJUZI!
.
Yaani... Alikuwa anajua Jinsi ya ku Design Viatu na Jinsi ya Kuuza Hivo Viatu vyake
.
Basi Bhana...
.
Wakati biashara yake Ikiendelea kuhangaika kupata ODA za Viatu huku akiwa anaunga unga Maisha
.
...Siku moja akiwa Hana hili wala lile Akiwa kwenye Gari lake
.
Likaja wazo moja ambalo lilienda Kubadili kabisa Maisha yake na mpaka leo hii Dunia ina Mfahamu kwa aina kali ya Design ya Viatu vyake
.
Akiwa amekaa kwenye Siti ya Gari lake huku Miguu kaweka juu kwenye Dash Board...
.
Alianza Kujiuliza Kwamba...
.
"Ni aina Gani hasa ya Viatu Inapendwa Zaidi na Wateja wake?.."
.
Ni moja ya Maswali mugumu sana Kujiuliza kwa Mjasiriamali wa kawaida
.
Kwasababu...
.
Ili kupata Jibu ya hilo Swali Inahitaji ufanye Kitu Kinaitwa...
.
"Market Research"
.
Na katika Biashara moja ya Vipengele vigumu pia moja wapo ni...Market Research!
.
Kwasababu... Inahitaji Pesa na Inahitaji Muda ndio sababu Wajasiriamali wengi hawafanyi
.
Na...
.
Kwenye biashara Unafanya Market Research Ili kujua Wateja wako wanataka nini na SIO Wewe unataka Kuuza nini
.
Na...
.
Hapa ndipo Steve Madden alipoamua Kufanya Kitu kimoja Genius sana...
.
Unajua Alifanyaje?..
.
Okay... Angalia Hapa Chini
.
Steve...Alitoka akaenda moja kwa moja Mpaka kwa Jamaa yake waliyekuwa wana Sambaza nae Viatu
.
Akamwambia inabidi Tuzalishe pea 100 za aina tofauti tofauti za Viatu
.
Kisha tuzipeleke Miji ya...
.
San Francisco na Manhattan (Marekani)
.
Kwasababu...
.
Ndio maeneo yenye Wanunuzi wa haraka (Early Adopters), Influencers, watu wanaopenda Fashion na Kuendana na Trends
.
Kwahiyo alitumia hayo Maeneo kama ndio Sample ya kuwakilisha Soko zima la Viatu Marekani
.
Alifanya hiyo Marketing Testi SIO Chini ya Mara tano, na kitu Alichokuja Kukigundua ni kwamba...
.
Katika kila pea 100 alizokuwa Anapeleka kwenye Store zao ambazo ziko kwenye hiyo Miji...
.
Yaani... San Francisco na Manhattan
.
Kuna pea 2 hadi 3 ambazo Ndizo zilizokuwa Zikipendwa zaidi kuliko zote...
.
Kama Asilimia 20% hivi ya Viatu walivyopeleka
.
Halafu hizi 80% Nzima ni Viatu ambavyo vilikuwa havinunuliwi na havikupendwa sana sokoni
.
Na...
.
Kama Tunavyojua kwenye Biashara...Soko Ndio Maabara ya Kweli!
.
Kwahiyo...
.
Alikuja kugundua kwamba katika kila Pea 100 pea 3 tu Ndizo zilikuwa na dili Sokoni!
.
Mtalamu akarudi kwenye Drawing Board yake tena halafu akaja na Majibu kwa Kampuni ambalo lilikuwa linawazalishia Viatu
.
Kwa Kipindi hiko Lilikuwa Mexico!
.
Kwamba pea hizi 3 ndio baba lao
.
Kwahiyo tunataka aina hizi tatu tu Ambazo ndizo Tutakuwa tunauza kwenye Soko letu
.
Basi bhana... Wakarudi kwenye Kuongea na wauzaji wengine kwenye Mall kubwa kubwa
.
Kwamba...
.
Kuna aina Hizi hapa za Viatu tumezifanyia Majaribio Ndizo zinauzika Vizuri zaidi ya zingine
.
Kwahiyo mnaweza Kuanza kuziuza kwenye Maduka yenu pia
.
Hicho ndicho alichokifanya "Steve Madden" na Kikamtoa kutoka kuishi kwenye
.
Gari lake mpaka kwenda kumiliki Kampuni yenye Thamani ya zaidi ya $100M na zaidi
.
Na...
.
Mbinu Aliyoitumia Kulitikisa Soko la Viatu Marekani Inaitwa...
.
"Natural Selection"
.
Kwa wapenda Shule kama Mimi Natural Selection ina Maana ya...
.
"Survival for the Fittest"
.
ILA...
.
Kwa maana Nyingine ni Kwamba...
.
Jinsi Dunia na Binadamu ilivyo ni kwamba Huwa tuna Tabia ya kuachana na Vitu vingi na Kuchagua vitu vichache
.
(Ignoring the Most and Only Paying Attention to Few)
.
Hiyo ni... "Human Nature"
.
Ndio maana hata Ukienda duka la Nguo utakuta kuna nguo huwa Zipo tu kila ukienda... HAZINUNULIWI
.
Hii ni Kwasababu...
.
Binadamu huwa ana Tabia ya Kuchagua Vichache na Kisha kuacha Vingi
.
Kwahiyo...
.
Steve Madden yeye alitumia hii Tabia kwa Faida na akaja Kugundua kuwa...
.
Katika pea Mia moja za Viatu pea 3 Tu Ndio zilikuwa zinapendwa zaidi Sokoni
.
Guess What?..
.
Boooom (He Sold Like Crazy)!
.
Na hiki Ndicho alichokifanya... "Tim Ferris" kwenye
.
Kuchagua jina la Kitabu chake cha..."The 4 Hour Work Week"
.
Alitumia... Natural Selection
.
Aliafanya Facebook Ads za majina yote ya Vitabu aliyokuwa anataka kuyatumia
.
Kisha jina lililopata Clicks nyingi ndilo akalichagua na...
.
"The 4 Hour Work Week"
.
Ndio ilikuwa imechaguliwa zaidi kuliko vingine
.
Kwahiyo hii mbinu ya Natural Selection unaweza kuitumia katika...
.
Sehemu yoyote ya Maisha na Matokeo yake ukapata kutoka moja kwa moja kwenye Soko au watu Husika.
.
I hope Umejifunza Kitu...
.
Uwe na Siku Njema!
.
By the way...
.
Kama umependa Makala hii Usiache ku Comment na ku Like hapa Chini
.
Ni Shabiki Yako...