Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

1486989069725.jpg
 
Habari wadau,

Kuna jamaa anaitwa Hussein Pamba Kali ana maduka ya kuuza nguo sehemu mbali mbali, huyu jamaa muda mwingi yeye anatembelea maduka yake na Range Rover Vogue ya kisiasa.

Cha kujiuliza, ni nguo tu ndio zinampa utajiri au mambo yetu ya kuuza Dona? Kuna jamaa naye alikuja na style hizi hizi za HPK ndugu Tipo Zizzou Fashion, ila naye amedondokea pua.
KUTOKA MAKITABA
 
Hivi yule aliyenza kama mshona viatu mpaka kuwa mwagiza vifaa vya wajeda,hayumo kweli
 
Dah ! Karibu gf kutakuwa shida ,kuna kina 'mungu ' washaingia humu wataanza kulazimisha 'sijda ' ...
 
Mtu akiendesha gari nzuri anauza unga.hela zipo tele benki chemsheni bongo tu,majungu sio mtaji
Usiwe mchoyo wa fadhila. Kama pesa zipo tele benki, wapatie mbinu za kuchemsha bongo ili watoke.
 
Back
Top Bottom