Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

Hussein Pamba Kali anauza nguo tu?

hussein mkangala mtoto wa mjini kazaliwa magomeni mikumi mtaani kwetu anajulikana kuwa ni muuza unga ila hakuna mwenye ushahidi alianza na kaduka kinondoni manyanya,sasa ana maduka kariakoo,kinondoni,sinza na tegeta.namfahamu vizuri sana
Wote wanaanzaga hivyo hivyo
Beka ranger naye alikuwa fundi maredio nakumbuka. ...Ila badaye ndy hivyo

Ovaaaaa
 
Wote wanaanzaga hivyo hivyo
Beka ranger naye alikuwa fundi maredio nakumbuka. ...Ila badaye ndy hivyo

Ovaaaaa

Wakuu kama mnaona wanatusua kwa nini nanyi msijichanganye huko!!
Ukiona mbishe afanyazo mwenzio ni rahisi kihivyo ingia na wewe mzigoni!
 
Duh! Inawezekana au la
Maana % 60 ya madada wanaomiliki maduka ya nguo kinondoni wengi wao ni mapunda na wanatumika kupeleka ngada china, na kuna wengine wanatumia mtaji yao wenyewe.
Siku zote huwa nasema Hata kama hapa tanzania utalindwa lkn iko siku huko nje utanasa tu kukamatwa na kufungwa.
Mfano fatma mchina dem wa tevez alikuwa na duka pale konondoni....Ila alienda Italy na huko wamemdaka na yuko ndani!
Narudia tena % 60 ya maduka ya nguo yanayomilikiwa na wadada na wamama wote ni wabebaji unga au wanajihusisha na ngada
Na wengi wao wamekulaa vitungu china, Brazil, south afrika etc

Ovaaaa
Mhhh ndo maana Tevez anajirudisha kwa Isha kumbe
 
Mtu akiendesha gari nzuri anauza unga.hela zipo tele benki chemsheni bongo tu,majungu sio mtaji
 
Asikwambie mtu biashara ya ngada inalipa sana, Sema sijapata fursa..............
Watoto wadogo wa juzi wametoka kimaisha huku mitaa ya magomeni...........
High risk high income........
usilolijua ni sawa na usiku wa giza
kama wewe mtoto wa magomeni Waulize wakina keto (rip)wako wapi sahv
Usibabaike na maisha ya muda mfupi na mara nyingi ktk mboo ndefu hizo pumzi huwa inawaishia wengi wao wanaingia ktk utumiaji
muulize smbdy Beka mwanafunzi wote hao watoto wa magomeni na walikuwa wanaonekana wame toka kimaisha lkn mwisho wa siku ukiwaone ni balaaa
 
Ukiona mtu kwenye hoja anaangalia typo basi ujue umegonga ikulu hivyo anatafuta PA kutokea.
Hakuna hoja hapa zaidi ya umbea.Komaa upate la kwako la sivyo utaendelea kujadili mafanikio ya wanaume mpaka kiama.
 
usilolijua ni sawa na usiku wa giza
kama wewe mtoto wa magomeni Waulize wakina keto (rip)wako wapi sahv
Usibabaike na maisha ya muda mfupi na mara nyingi ktk mboo ndefu hizo pumzi huwa inawaishia wengi wao wanaingia ktk utumiaji
muulize smbdy Beka mwanafunzi wote hao watoto wa magomeni na walikuwa wanaonekana wame toka kimaisha lkn mwisho wa siku ukiwaone ni balaaa

Aisee:suspicious:
 
Kwa dr mwaka ilianza kathread ka kiuchokozi chokozi bahati mbaya kakatumbua usaha...
 
Chiddi mapenzi...robby one fashion nao vipiiii

Robby Morro ni mdada anaejitambu hawezi beba sembe yule! Yupo vizuri upstair na isitoshe ukiachana na ulimbwende aliojaaliwa nao, kipindi anaanza biashara alikuwa muajiriwa katika taasisi moja ya fedha hapo mjini na ndiko alipata mtaji wa biashara zake!
Ndiyo maana nasisitiza hapa, kuna watu wametoil kitambo wamejipanga wakapangika hivyo acheni kutumbua mimacho yenu ya husda pindi waamuapo kutumia pesa zao hadharani!
 
Back
Top Bottom