Ww ungekuwa huru kimawazo usingemshabikia yule jamaa wa monduli.Kwangu mimi huyu ndio mbunge namuona bora zaidi ndani ya CCM
Anamawazo huru sio mtumwa wa chama
Ila wasiwasi wangu nikwamba kipindi kijacho wanaweza wakamstaafisha siasa za bungeni
Huyu ni hazina ya taifa,sio mfia chama ni mfia watanzania,hata watoto wake hawataona aibu kumtambulisha baba yao mbele za wenye akili,
Amevaa viatu vya Filikunjombe(Mungu amlaze mahali pema kabisa peponi )
Huyu kijana ukifuatilia michango yake bungeni yuko tofauti sana na wenzie wa chama chake! Hapigi vijembe au kuimba taarabu, yeye anakata issues mpaka utafurahi kumsikiliza! Laiti wangekuwa wengi kama yeye huko chamani!!
Mafisadi wanapelekwa Mahakani...sio kukaa na BasheNi mzuri katika kuwasilisha hoja. Tatizo ni background yake anaishi na amezungukwa na Mafisadi Papa.
Anawafurahisha mabosi waki wake Rost na Low kwa kuwa mpinzani wa kila kitu
Mahakama ya Ufisadi ndio The Only Solution. Thanks JPM.Mafisadi wanapelekwa Mahakani...sio kukaa na Bashe
acheni upumbavu
Ww ungekuwa huru kimawazo usingemshabikia yule jamaa wa monduli.
Siyo CCM die hardKwangu mimi huyu ndio mbunge namuona bora zaidi ndani ya CCM