Hussein Bashe utafikiri havai nguo ya kijani

Hivi mnadhani ndani ya ccm hakuna wenye akili? WAPO. Ila tuu wanaamua kujivua ufahamu kwa sababu wazijuazo wenyewe.
cc. Wakudadavuwa
 
Ulipomsikiliza hapa kapinga nini?
kumbe ni mtu wa haki wewe, anayestaili kusifiwa asifiwe, sasa nitabadili mtazamo juu yako. Nimependa pia ile mada yako juu ya ukaidi Tanzania. Sometimes we need to be neutral to defend our nation. Ni juu ya watoto wetu na wajukuu wetu.
 
Huyu jamaa hana IQ ya mtanzania halisi,ana asili ya sehemu nyengine na ndio maana yuko vizuri :D
Nimekuelewa sanaa kwa hilo!!! Tuna shida sisi watanzania......hata kwenye ukweli tunatanguliza tumbo....akili imehamia tumboni!!! Wanasiasa hovyo kabisaa.....sitaki kuwasikia najuta kuwajua!!!
 
Ww ungekuwa huru kimawazo usingemshabikia yule jamaa wa monduli.

Jamaa yupi umeniona nikimshabikia?
Hebu leta taarifa yoyote hapa nikimshabikia
Mimi sio mnufaika wa hela wala sera za mtu binafsi,ikitokea nikimsifia mtu nipale ambapo amepatia

Tena namalizia kwakusema"SISHABIKII VYAMA NASHABIKIA MAWAZO CHANYA YA MTU"
 
Tangu mwanzo yuko vizuri ni kweli michango inaleta tija kwa taifa sio wengine ni ndiooooooo
 
Ni mbunge anayejitambua.
Naamini huyu Bashe angekuwa CDM tayari angeitwa msaliti kama Zitto Kabwe wanavyomuita.


Huyu kijana ukifuatilia michango yake bungeni yuko tofauti sana na wenzie wa chama chake! Hapigi vijembe au kuimba taarabu, yeye anakata issues mpaka utafurahi kumsikiliza! Laiti wangekuwa wengi kama yeye huko chamani!!
 
Wakati tuna support anachokifanya Bashe ni lazima nasi tuangalie pande zetu.
Kuna watu viongozi ndani ya vyama vyetu vya siasa hawapendi kukosolewa.
Waliojaribu kuwakosoa leo hii wamefukuzwa na kuitwa wasaliti.
Kwangu mimi huyu ndio mbunge namuona bora zaidi ndani ya CCM
Anamawazo huru sio mtumwa wa chama
Ila wasiwasi wangu nikwamba kipindi kijacho wanaweza wakamstaafisha siasa za bungeni

Huyu ni hazina ya taifa,sio mfia chama ni mfia watanzania,hata watoto wake hawataona aibu kumtambulisha baba yao mbele za wenye akili,

Amevaa viatu vya Filikunjombe(Mungu amlaze mahali pema kabisa peponi )
 
Si mnasema sio mbongo huyu!
Huo ndio ukweli.
m - tz yeyote mwenye asili ya nchi nyingne kamwe hawezi kuwa mtz halisi, hata ikatokea kimenuka hapa huyoo anasepa kwenye nchi yake ya asili.
Ni kama wahindi tu......pia ni nadra sana watu hawa kujihusisha na siasa na ikitokea hivyo basi huwa ni lazma afungamane na ccm kama cover ya u fake wake!
 
Ulipomsikiliza hapa kapinga nini?
Umeona ndugu zako wa chama cha kijani au makinikia(ccm) walivyo weupe kichwani? ccm wana vihoja vyepesi mno hata mtoto wa chekechea kawazidi.wao kazi yao nikupiga makofi tuu na kusema ndioooooo.ukiwapa nafasi yakuongea ndio wanadhihirisha upumbavu wao.

ccm ilaaniwe.
 
Vijana mnanifurahisha,hivi ni lini mtajua kwamba kuna tofauti kubwa kati ya O na sifuri (0),leo hii mtu kuweka mbele maslahi ya taifa watu wanahoji?eti kisa ni usisiemu na upinzani wao uchwara!stukenii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom