Hussein Bashe utafikiri havai nguo ya kijani

Kwangu mimi huyu ndio mbunge namuona bora zaidi ndani ya CCM
Anamawazo huru sio mtumwa wa chama
Ila wasiwasi wangu nikwamba kipindi kijacho wanaweza wakamstaafisha siasa za bungeni

Huyu ni hazina ya taifa,sio mfia chama ni mfia watanzania,hata watoto wake hawataona aibu kumtambulisha baba yao mbele za wenye akili,

Amevaa viatu vya Filikunjombe(Mungu amlaze mahali pema kabisa peponi )
 
Ww ungekuwa huru kimawazo usingemshabikia yule jamaa wa monduli.
 
Kwangu mimi huyu ndio mbunge namuona bora zaidi ndani ya CCM
Anamawazo huru sio mtumwa wa chama
Ila wasiwasi wangu nikwamba kipindi kijacho wanaweza wakamstaafisha siasa za bungeni

Huyu ni hazina ya taifa,sio mfia chama ni mfia watanzania,hata watoto wake hawataona aibu kumtambulisha baba yao mbele za wenye akili,

Amevaa viatu vya Filikunjombe(Mungu amlaze mahali pema kabisa peponi )
Siyo CCM die hard
 
Ameshauri mambo mazuri sana, tatizo ni kwamba ushauri wake umetua kwenye sikio la kufa lisilosikia dawa. Ingekuwa ni matusi ya akina kibajaji hapo yangetendewa kazi kwa haraka sana. Sorry my brother, you have given right advices to the wrong people.
 
Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom