Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwasababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.

View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Ok. tafuta olewa nae. Mbona simple sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16]mimi kuna mwanajeshi yupo sudan kila siku video call akirud atanioa tu kwa kweli ila ana sura chachu kama vichochoro vya mwananyamala
Umeanzisha uzi wa dhihaka dhidi ya watu wanaokufanya uishi ukiwatukana kwa kadri unavyopenda eti wana sura mbaya na wapenda totoz.

Hayo mapenzi ya kejeli na matusi kwa watu ambao usiku na mchana wameweka rehani maisha yao kukutetea wewe yanafurahisha kama siyo kufedhehesha.

Inashangaza na inasikitisha kuona baadhi ya watu katika jamii wakikufuru, kukejeri na kunajisi kazi za wengine, tena kwa kebehi na dharau zilizopitiliza hadi kuwahusisha na sura za mashetani na roho za ngono, halafu kama kwamba haitoshi, wakaenda mbele zaidi kuchekelea na kusema eti wanawapenda.

Hayo mapenzi na cheko zenu ni furaha na raha ya kuona miujiza ya sura na mambo ya hovyo ya misururu ya ngono au ni mapenzi ya dhati kutoka mioyoni mwenu?
Ni suala la muda tu na itafika hakika, siku kivumbi kinatimka, hao mnaowakejeli na kuwadharirisha mtawaona Miungu wenu na kimbilio la faraja zenu.
 
Asante kamanda kwa kuwakumbusha maana kuna watu humu wananikera kama mtoa mada.
Maana kuanzisha mada mwisho unamalizia kutudhihaki haipendezi.
 
Wee Demiss unariogopa rire riporisi urirorifungia gesti na ndo umeamua kujipendekeza kwa wanajeshi, sasa fanya jitihada fasta kabla harijafunguriwa huko rije rikukamate!
Akisikia unadate na kina muraaa wa jeshini hasogei
 
HAO WANAOA SABABU VINGI WANAPEWA BURE HUJUI KWANN WANOA SANA....WAMESHATENGENEZEWA MAISHA
Wapewe sifaaa zao wanatusaidia kweli wanawake tulioishia la tatu
 
Umeanzisha uzi wa dhihaka dhidi ya watu wanaokufanya uishi ukiwatukana kwa kadri unavyopenda eti wana sura mbaya na wapenda totoz.

Hayo mapenzi ya kejeli na matusi kwa watu ambao usiku na mchana wameweka rehani maisha yao kukutetea wewe yanafurahisha kama siyo kufedhehesha.

Inashangaza na inasikitisha kuona baadhi ya watu katika jamii wakikufuru, kukejeri na kunajisi kazi za wengine, tena kwa kebehi na dharau zilizopitiliza hadi kuwahusisha na sura za mashetani na roho za ngono, halafu kama kwamba haitoshi, wakaenda mbele zaidi kuchekelea na kusema eti wanawapenda.

Hayo mapenzi na cheko zenu ni furaha na raha ya kuona miujiza ya sura na mambo ya hovyo ya misururu ya ngono au ni mapenzi ya dhati kutoka mioyoni mwenu?
Ni suala la muda tu na itafika hakika, siku kivumbi kinatimka, hao mnaowakejeli na kuwadharirisha mtawaona Miungu wenu na kimbilio la faraja zenu.
Naona umeandika mambo mengi alafu nimepata point moja tu

Kwahiyo hapo nimewasifia au nimewakejel kweli unazeeka vibayaa
 
Asante kamanda kwa kuwakumbusha maana kuna watu humu wananikera kama mtoa mada.
Maana kuanzisha mada mwisho unamalizia kutudhihaki haipendezi.
Unadandia treni kwa nyumaaa eeeeh

Nimesema ukweli wanajeshi wengi wana sura mbaya ila ni watu wanaoongoza kwa kuoa kuna tatizo
 
Naona umeandika mambo mengi alafu nimepata point moja tu

Kwahiyo hapo nimewasifia au nimewakejel kweli unazeeka vibayaa
Ni kweli Demiss ninazeeka vibaya! Ungeweka sura yako hapa tukaona ulivyo mrembo wa kwa mtogole nigejua ninavyozeeka.

Kitendo chako cha kukejeri watu na kuwapachika sura za kufikirika wakati umejificha nyuma ya keyboard na wakati huonyeshi sura yako hapa wala hakinipi shida.

Ni nani aliyekwambia kule kambini kuna kozi ya kuoa? Hizo sura mbaya za wanajeshi zinabandikwa wapi au wao wana uzao tofauti na binadamu wa kawaida?

Je, si kweli kwamba aliandika topic ya kuwadharirisha watu usio na chembe ya upendo kwao kwa kujivika lugha ya mapenzi wakati kila neno lako lililofuata ni kuwaponda!!!??
 
Mwanaume kazi, Mwanaume machine, Mwanaume mipango, hakuna kauli mbiu unayosema Mwanaume sura, njoo tuyajenge mamaa
 
IMG-20180210-WA0002.jpeg
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwasababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.

View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Yote uliyoeleza sio exclusive kwa "men in uniform"
Yanaweza kupatikana kwa wanaume wa kada mbalimbli,matharani,madakitari,wahandisi,wafanyabiashara,
Ulichoelezea ni majukumu ya mwanamume,sasa we all know,wanaume sio wanajeshi peke yao,!??!
Wanaume wapo kibao kwenye taaruma mbali mbali,
Pls insult us not!!
 
Nina iman wajeda wengi weus hasa wale kina "Muraaaaaa kuja hapa Muraaa nikuwowe wewe"
Acha kuteseka na maisha uje kuishi kwenye magoroga Muraaaa
Wakina rara nikurenge mama bhoke
 
Back
Top Bottom