Shikamoo kaka Eddy siku ukivaa magwanda uniite jaman nikuje nikuoneTeh teh Teh Humu Mpaka Usalama Wa Taifa Upo Ila Chonde Chonde Usiharibu Amani Ya Nchi
MhMbona Mie Kaka Yako Siko Hivyo
Teh Teh Uje KunduchiShikamoo kaka Eddy siku ukivaa magwanda uniite jaman nikuje nikuone
Nini Sasa Mbona Waguna
Duhbinafsi niliwah kuwa na mkaka mjesh!kikosi cha anga!jaman alikua ana adhab mfuu sijapata ona!ana wivu had kwa wazaz wako !nikasema cha kuuliwa mie!
Mkuu ukigeneralise kuwa wanajeshi wote ni elimu ndogo UNAKOSEA sana sana achana na fikra zilipendwa nowadays jeshini kuna bachelor's nyingii mno, Masters nyingii mno, kadhalika PhD kadhaa zipo jeshini na vijana wasomi niwengii tu, acha fikra potofu mkuu vyuo kadhaa udsm, Saut, udom, mzumbe, tumaini, open, st John, uclas wasomi hao wapo jeshini mkuu. Amka

Ni kweli wasimo wapo lakini wengi wao ni std seven mbona wengi tunawafahamu wametokea mtaani kwetuMkuu ukigeneralise kuwa wanajeshi wote ni elimu ndogo UNAKOSEA sana sana achana na fikra zilipendwa nowadays jeshini kuna bachelor's nyingii mno, Masters nyingii mno, kadhalika PhD kadhaa zipo jeshini na vijana wasomi niwengii tu, acha fikra potofu mkuu vyuo kadhaa udsm, Saut, udom, mzumbe, tumaini, open, st John, uclas wasomi hao wapo jeshini mkuu. Amka
Ni kweli wasomi wapo lakini wengi wao ni std seven mbona wengi tunawafahamu wametokea mtaani kwetu
Sawa hilo lipo wazi ila wanoongoza kwa kuoa na hawabagui wadada huyu kasoma hajasoma ni wanajeshiSifa za mume haijalishi na kazi. Kama ana fiti vigezo na ana tabia za mume. Basi anafaa kuowa.
Haijalishi ni mwanajeshi au yuko kwenye kaz nyingine
Mi handsome mpaka wenzangu wananipakaga matope kama Anord unakaribishwaLeo nimewapongeza ila lazma usome paragraph ya mwisho
Una experience nao?Uko sahihi ila tatizo wapo busy ile mbaya hasa wale ambao wapo kwny escort security. Pia wana wivu hatari hashindwi kuku lisu