Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwa sababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizur kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupendaa balaaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa .

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.
View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jaman huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa.
Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Rudi field mama kafanye research tena hii proposal imekataliwa[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Rudi field mama kafanye research tena hii proposal imekataliwa[emoji57][emoji57][emoji57]
Nitahamia kwa mainjinia tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sitaki kusema maneno mengi maana hayo mabuti yenu yanatisha sana kama maroli ya dangoteee
 
Nahisi mama unavutiwa na magwanda! Kiukweli ukivalia zile kombati wanawake huchachawa kinyama, sema hakuna kazi mbaya kama jeshini, mnasema tu kwa kuwa wengi wenu hamjui shuruba zilizopo!!

Nenda 92 kj au 121 kj sangasanga upate makomandoo
 
Zamani ukitaka kuajiriwa jeshini lazima wanaangalia mwili sura jiwe ila sahv ni tofauti sana maHB kibao jeshini pia siyo kwamba wote wanakunywa pombe ila kulingana na wanakaa sehemu moja hvyo ukiwaona kadhaa wanatumia wanaonekana ndio maisha yao pia jeshini tunafundishwa kuishi na watu na muda gani unapaswa kuwa kimajukumu na muda gani uwe maisha ya kawaida tu. Wanajeshi wengi sahv wanawivu wa maendeleo wanapenda kuishi maisha mazuri na mazingira mazuri kulingana na kazi wanazofanya ni ngumu ndio maana wanapenda sana wakirudi nyumbani wakute furaha kwa wake zao. Njoo ihumwa utaona vijana wadgo tu wanavyoporomosha mijengo na magari ya kutosha. Ni wastaarabu na wakaribu na wanajali na wakikupanda kunako 6*6 utaomba poo
 
Hawabagui mwanamke wa kuoa ila wanapenda wanawake wenye upendo,heshima,kujali na mwenye kujituma na akili tu ya kukaa na familia maana muda mwingine huwa wanaenda kozi hvyo unabaki na familia pamoja na kusimamia miradi ya maendeleo kama ipo me mwenyewe hata kama umeishia 7 B kama uko vzr nakutia ndani chap
 
images+%2810%29.jpg
 
Back
Top Bottom