kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,482
Habari ya jioniWanaume wa jf wanajeshi kama nawaona leo
Ila ukikubali kuwa na mjeda kubali kupangwa list ya wanawake wenzio kutoka dar inafika mpaka moro
Habari ya jioniWanaume wa jf wanajeshi kama nawaona leo
Ila ukikubali kuwa na mjeda kubali kupangwa list ya wanawake wenzio kutoka dar inafika mpaka moro
Safi za weweHabari ya jioni
Mi poa kabisa..Heri ya siku ya wanawake dunianiSafi za wewe
Asante sana kakaMi poa kabisa..Heri ya siku ya wanawake duniani
Ayeee! Wajeshi wengi zero brain ayeee!! [emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kwa mujibu, Msange 1Kazi ya majesh n ngumu ayeeeee co kama polisiii ( pushup kwenye godoro)
Kazi ya majeshi n ngumu ayeeeee co kama polisii ayeeee
Hebu tuimbe hii chenja poti
Nyie wambeaIla sisi wa TISS mmetutenga
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wanaume wa Dar hovyo kabisamnapenda miteremko sana kwa hiyo sisi wanaume wa dar sio wanaume au
Hao wanaoaga mademu wenye hela mara nyingi life lao ni uniquevipi kuhusu mapolisi?
Keshasema sura zenu mnatusha!Basi karibu kwangu mimi pia ni mjeshi niliyesoma sana (Bsc Military Science) so sitaki mjinga
Teh teh Teh Humu Mpaka Usalama Wa Taifa Upo Ila Chonde Chonde Usiharibu Amani Ya NchiKumbe kaka na we mjeda
Mbona Mie Kaka Yako Siko HivyoWanaume wa jf wanajeshi kama nawaona leo
Ila ukikubali kuwa na mjeda kubali kupangwa list ya wanawake wenzio kutoka dar inafika mpaka moro
Kwahiyo unasemaje mkuu mbn umeumia sanaNi kweli Demiss ninazeeka vibaya! Ungeweka sura yako hapa tukaona ulivyo mrembo wa kwa mtogole nigejua ninavyozeeka.
Kitendo chako cha kukejeri watu na kuwapachika sura za kufikirika wakati umejificha nyuma ya keyboard na wakati huonyeshi sura yako hapa wala hakinipi shida.
Ni nani aliyekwambia kule kambini kuna kozi ya kuoa? Hizo sura mbaya za wanajeshi zinabandikwa wapi au wao wana uzao tofauti na binadamu wa kawaida?
Je, si kweli kwamba aliandika topic ya kuwadharirisha watu usio na chembe ya upendo kwao kwa kujivika lugha ya mapenzi wakati kila neno lako lililofuata ni kuwaponda!!!??