Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Sie ma shoe shiner vipi jama?
Wadada hamtutaki?
 
Utafundishwa hadi kung'arisha buti kwa cotton.
Jiandae pia kwa lolote kumpokea kama shujaa.
 
Hao jamaa ujiandae pia kuwa mjane ukiwa binti mbichii kama sio kuuuawa vitani basi kambini wakizinguana na wenzake
 
[emoji16][emoji16][emoji16]mimi kuna mwanajeshi yupo sudan kila siku video call akirud atanioa tu kwa kweli ila ana sura chachu kama vichochoro vya mwananyamala
Bado hajarudi? Umeolewa?
 
Back
Top Bottom