Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Seriously speaking mi napenda saana wanajeshi na nataman niolewe nao yani na nlipata rafk m1 wa hyo kada but kuna vtu vlzngua but kama yupo ambae anania kabsa mi napenda sana hao watu kutoka moyoni
 
Seriously speaking mi napenda saana wanajeshi na nataman niolewe nao yani na nlipata rafk m1 wa hyo kada but kuna vtu vlzngua but kama yupo ambae anania kabsa mi napenda sana hao watu kutoka moyoni
Usjali mama lazima wapite hapaa umepataaaa kabisaaaa
Yan mm nikipata handome la kijedaaa

Walllah nitamla kama hii chakula
image_search_1520100949839.jpeg
 
Achaaa yani nawakunda kiukweli kabsa nlkua nacmamia uchaguz alikuja m1 had kaz nlyokua nafanya nkasahau nkabak namuangalia tu yeye!
Wanavutia kiukweli wanapendeza yale magwandaaaa yaoooo
 
Uko sahihi ila tatizo wapo busy ile mbaya hasa wale ambao wapo kwny escort security. Pia wana wivu hatari hashindwi kuku lisu
 
Mwanaume ni mwanaume ilimaradi ajue majukumu na wajibu wake. Na hii ni tabia ya mtu haijalishi ni mjeshi au mgambo sawa dogo@ Demiss
Sawa ila na wanajeshi kwa hili dada tuwape sifa yaooo kama tuzo wangepewa kwa kweli
 
Haha hah hapa ndipo nachekaga JF yani leo wanaume wote watakua wajeda ghafla
watakuja na neno
"Asante Demiss kwa kutusifia."

Na misura yao mibaya kama break za Toroli
 
Back
Top Bottom