Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Hapo sasa ngoja wenyewe waje!
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwasababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.

View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Pia wakienda Congo hawaendi na wake zao.
 
Nasema nimpende Nani, salima, nasema nimpende nani,salama X 2
 
Sio wote wabaya bwana
Nna classmates ni wanajeshi
Ni mahb balaa
 
Mi nadhani unawaongelea wanajeshi wa kwenye movie .... Ila hawa wa tz don’t dare kabisaaa
 
Back
Top Bottom