Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Yaani wanajeshi zile gwanda zao zinanihamasishaga nikiwaona ila wakinisogelea karibu. Napenda kuwadate tu ila sio mambo ya ndoa wala nini maana suala la kuzaa nae mara unasikia anaenda wapi sijui kwenye mission mi roho yangu ndogo naweza kufa. I wish kweli siku nijaribu mwanajeshi
 
Kazi kazi
tapatalk_1502294642002.jpeg
 
haha chamdeko wew
Nina iman wajeda wengi weus hasa wale kina "Muraaaaaa kuja hapa Muraaa nikuwowe wewe"
Acha kuteseka na maisha uje kuishi kwenye magoroga Muraaaa
 
wanapenda kuoaaaa
Kila mwanaume anapenda kuoa, sema hawa wanapenda sana kugegeda haijalishi ni changudoa, Malaya au Nani.
Take a look to the DRC Kongo kila siku tunasikia wanajeshi wamebaka huko,.
Lkn sio wao, nafikili mazoez yanachangia pia
 
Yaani wanajeshi zile gwanda zao zinanihamasishaga nikiwaona ila wakinisogelea karibu. Napenda kuwadate tu ila sio mambo ya ndoa wala nini maana suala la kuzaa nae mara unasikia anaenda wapi sijui kwenye mission mi roho yangu ndogo naweza kufa. I wish kweli siku nijaribu mwanajeshi
mimi kuna mwanajeshi yupo sudan kila siku video call akirud atanioa tu kwa kweli ila ana sura chachu kama vichochoro vya mwananyamala
 
mimi kuna mwanajeshi yupo sudan kila siku video call akirud atanioa tu kwa kweli ila ana sura chachu kama vichochoro vya mwananyamala
Sasa zile sura zao kuwa chachu ndo zinanoga
 
Nina iman wajeda wengi weus hasa wale kina "Muraaaaaa kuja hapa Muraaa nikuwowe wewe"
Acha kuteseka na maisha uje kuishi kwenye magoroga Muraaaa
Umenikumbush nikiwa kwa mujib was sheria 842 KJ tulikua na volunteer leader ni shidaaa! Mnalala saa 7 saa 8 kaja kuwaamsha
 
Labda kwa sababu vichwa vyao huwa vinahitaji utulivu sasa kuanza kupambana na drama za wife na mchepuko wanaina kero
Alafu mwanaume yeyote mjeda anapenda maendeleo Nyumba Gari duuuuh na kuanzisha miradi mbalimbali
Wakipata mwanamke wa kichaga utaona maendeleo yao yanavyopamba motooooo
 
Umenikumbush nikiwa kwa mujib was sheria 842 KJ tulikua na volunteer leader mmoja anaitwa ngolo ni shidaaa! Mnalala saa 7 saa 8 kaja kuwaamsha
Na iman hujaoa unichukue nakupa offer
 
Back
Top Bottom