Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Husband material kwa sasa mjini ni wanajeshi

Uongo hapa jirani kuna msichana wawatu hapa mjeshi kamkimbia naanamimba hana chakula wala luku ni majirani ndio wanamsaidia kwa kula na kunywa .
Luku na sijui mengine.
Hakuna lolote eti wanatunza wanaoa mbona hatumuoni hapa akimtunza kwa lolote isitoshe hajulikani alipo mpaka sasa hivi.
Mdada wawatu anaenda shule kwa aibu.
Watu mtaani wanamcheka.
Dah hii ni kali.
Naanasura nzuri kama mdada.
 
usisahau kuongeza, ndilo kundi LA wanaume wanaoongoza kwa Umalaya likifuatiwa na madereva wa malori,ana kuoa na ana mahawala 10 thubutu umuulize Kwa nini ana cheat kipigo cha hapo hutarudia, kama kuna kundi LA wanawake wanaonyanyasika ni wake wa wanajeshi, Sifa yao kubwa wanaongoza kuhonga.
 
Mnaosema kwamba wana sura ngumu isingekuwa official case ningetuma picha yangu hapa kwa mfano ili muone kuwa ma HB tupo wakutosha
 
Yaani wanajeshi zile gwanda zao zinanihamasishaga nikiwaona ila wakinisogelea karibu. Napenda kuwadate tu ila sio mambo ya ndoa wala nini maana suala la kuzaa nae mara unasikia anaenda wapi sijui kwenye mission mi roho yangu ndogo naweza kufa. I wish kweli siku nijaribu mwanajeshi
Can we try it?
 
Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaa kwa mshikaji wangu ila pako road sana njoo tukuyu au flamingo
Lazima nije kwa kweli na hivi hakuna umeme leo huku shida kweli kweli
 
Seriously speaking mi napenda saana wanajeshi na nataman niolewe nao yani na nlipata rafk m1 wa hyo kada but kuna vtu vlzngua but kama yupo ambae anania kabsa mi napenda sana hao watu kutoka moyoni
Tembelea 833KJ ukutane na makomando vijana ujichagulie.
 
Ila pia walevi.....,njooni kwangu mkulima mle tikiti
 
Hamna lolote mnapenda kuwa nao kwasabubu mnajua mda mwingi wanakuwa Congo au Sudan na kwingineko kwenye machafuko kulinda amani huku nyuma mbabaki kupigwa miti na kwakuwa huwa hawaendi na ATM basi maisha yanakuwa murua huku mukionga bahasha zenu hela za wajeda. Poor u
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwasababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.

View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
Wee Demiss unariogopa rire riporisi urirorifungia gesti na ndo umeamua kujipendekeza kwa wanajeshi, sasa fanya jitihada fasta kabla harijafunguriwa huko rije rikukamate!
 
Habari wanajamvi?

Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)

Nasema hivi kwasababu gani?

-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au hajasoma ili mradi kampenda.

-Wadada wengi wanavutiwa na yale magwanda yao na ile misifa mfano "yule mke wa mjeshi"

-Wanajeshi wanajali sana wanawake waliooa (wadada tuko pamoja)

-Wanajeshi wapo vizuri kwenye suala la sita kwa sita siyo wachovu kutokana na mazoezi wanayofanya kila siku.

-Katika suala la kusomesha watoto wanajeshi nawapa salute kwa hilo.

-Kwenye suala la maendeleo mfano nyumba na kumiliki gari hawa watu ni hatari hilo sio la kuuliza.

-Wanajua kupenda balaa asikwambie mtu.

-Miili yao ipo imara na wachapakazi sana.

-Hawana nyodo nyingi za kuchagua mwanamke wana maamuzi ikifika muda wa kuoa anaoa.

-Wanapenda sana kuishi na wanawake zao.

View attachment 706815

Nyongeza kutoka kwa Demiss:

Wanajeshi wana sura mbaya jamani huwezi kujua hapa kanuna au katabasamu kazi kweli kweli sura kama maumbo ya watani wangu wa kike wanaoendaga kuhesabiwa. Wanawake zao ndio wanayajua matabasamu ya waume zao.
HAO WANAOA SABABU VINGI WANAPEWA BURE HUJUI KWANN WANOA SANA....WAMESHATENGENEZEWA MAISHA
 
Wadada wapenda ganda la ndiziiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom