Youth uyo ni youth na mabeberu si alikuwa hawapendi kumbe Denmark wapoHaaaaha punguza kuunda maneno ambayo hayapo.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark, President wa Shirika lake ambalo limemkuza na kumsomesha. Na amekuwa mwakilisha kwa mambo ya policy for youth in Developing Countries kwa Danish Development Agency na Malkia Margerethe 11 wa Denmark.
Hao kina Maria Sarungi wanakua shavu lá Pole pole, ndio maana hakuna siku Maria Sarungi na NGOS karibu zote watamzungumzia vibaya Pole pole.
NGOs zinatamani arudi uwanjani wale shavu.
Binafsi hii kitu iliniboa sana. Akwende zake huko.Nakumbuka alivyokuwa anawapigia simu baadhi ya wakuu wa idara usiku
Na v8 letu aache hapoWatu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena. View attachment 1795398
Alijua hili lazima litokee kwani alishapata uteuzi mwingine tayari...Huo unyonje ni upi!?? Alipaswa afanyeje!??
Aisee, kumbe amewatumikia sana mabeberu na bado anaweza kurudi kuwatumikia...asante kwa taarifa...Ni vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.
President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.
Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?
Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.
Duh! mna usongo naye!!! Ila alikuwa anajidai sana sana. Hata mimi nimefurahi kutolewa hapo maana alikuwa vuvuzela sana!!!Hilo kila mtu analijua sana lkn pia anaweza akawa na gari la kibunge lisiwe VIIII EIGHT
Haya majibu ya baba yenu au mama yenu ni majibu ya kipumbavu.Wakati wa baba yenu yupo ikulu mlikuwa mnajua au kufikiria kuwa mtaishi kwenye nafasi zenu milele.
Ndiyo maana mlikuwa mnaomba katiba ibadilishwe ili atawale milele kisa ni shujaa wa Afrika.
Ila wewe unanizidi kwa upumbabvu kwani unaandika mambo kama vie kichwani umejaza tui la nazi tu; hamna ubongo hata chembe moja.Wewe mwenyewe ni mpumbavu tu
sasa mambo ya unaijua V8 aliyatoa wapi ?au ndio ushamba na ulimbukeni wa madaraka ulimlevyaNi vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.
President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.
Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?
Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.
Hiyo haikuhusu tulia uangalie jinsi nchi inavyo ongozwa kwa weledi,kisayansi na kamwe hutosikia kutumia maguvu.Ila wewe unanizidi kwa upumbabvu kwani unaandika mambo kama vie kichwani umejaza tui la nazi tu; hamna ubongo hata chembe moja.
Hilo kwa uvccm ndiyo kipau mbele chenuView attachment 1795920 tatizo la kupenda madaraka,ndio mkatamani msuguliwe.