Tatizo macho yamefunikwa na boksi... kuna kitu tulihitaji kukiona baada ya tabasamu la kinywa macho yamesemaje!!???Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena.
View attachment 1795398
Kwa hiyo anatuaminisha kwamba ile NGO ya pale kijitonyama kalikuwa kamradi ka upigaji???Pole afisa habari wa chakubanga. Au ndio chakubanga mwenyewe,maana kwa detail hizo unamjua chakubanga kuliko anavyojijua mwenyewe!
Machozi yanamtililika maana zile sifa kubao, majigambo na mbwembwe vyote sasa kwisha.Tatizo macho yamefunikwa na boksi... kuna kitu tulihitaji kukiona baada ya tabasamu la kinywa macho yamesemaje!!???
Naam Mkuu na inapaswa sasa nyoka watolewe sumu kisha wang'olewe meno ili wasije eneza sumu yao kwenye jamii kama walivyofanya awali... rasmi walikuwa wanaipeleka nchi kwenye ujambazi wa kidola, wananchi walishaanza kupigania nafsi zao kuliko haki zao...Mkuu hao sukuma gang wanapeana matumaini baada ya kupata PIGO kubwa sana maishani.
Meneno murua maneno kuntuuuuuNaam Mkuu na inapaswa sasa nyoka watolewe sumu kisha wang'olewe meno ili wasije eneza sumu yao kwenye jamii kama walivyofanya awali... rasmi walikuwa wanaipeleka nchi kwenye ujambazi wa kidola, wananchi walishaanza kupigania nafsi zao kuliko haki zao...
Dah! Sijui wengine kama tutapata bahati ya kuona makabidhiano kama haya kati ya Mbowe na Mwenyekiti mwingine!Watu siku zote wanasema kuwa hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
Wengine wanasema hakuna binadamu yeyote aijuaye kesho yake.
Polepole leo hii amekabidhi ofisi kwa mteule mpya kwa unyonge mkubwa moyoni maana zile mbwembwe za kuwakebehi watanzania kuwa yeye anatembelea VIII EITIII sasa basi tena.
View attachment 1795398
Ahahahahahah!!!Wewe mushuti kawafuatilie Wanyarwanda wenzako
Nikibahatika nikapata punje 30 itakuwaje?
Nipo mbioni kuja kuoa kwenye ukoo wenu [emoji28][emoji28][emoji28]Uvccm wote hamna akili
Thubutu toka lini mfalme akakabidhi ufalme wake kwa mtu mwingine.Dah! Sijui wengine kama tutapata bahati ya kuona makabidhiano kama haya kati ya Mbowe na Mwenyekiti mwingine!
Mzee nitumie CV maana upo 24/7 hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Stupid, uliona wapi muolewa anaoa?
Kuna watu humu wana roho mbaya Sana na afadhali mwl Nyerere aliwashtukia mapemaNi vizuri haufahamu mengi, ila hana cha kupoteza kabisa kama suala ni pesa labda kwenye siasa.
President wa NGO yake aliokuwa akifanyia kazi na iliyomkuza na kumsomesha anamtaka muda wowote arudi kuwa Regional Director.
Kwa request yake Pole pole Bosi wake alii petition nchi yake kwa mfuko wa maendeleo ya nchi za dunia ya tatu Denmark ikatoa 300 USD kwa mradi wa SGR kitu gani kitamsumbua kurudi?
Pole pole sio mwepesi hivyo kama unavyo weza kumuona kwa haraka. Ni ngoma nzito.
Ni rafiki wa karibu na Prince Frederik wa Denmark president wa Shirika lake. Na amekuwa mwakilisha policy for youth in Developing Countries kwa kwa Danish Development Agency na Margerethe 11.