Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
- Thread starter
- #121
Lazima apukutishwe hizo chenji ili arudi kwao koromitje vizuriWaondoke hao, wakishirikiana na baba yao mwendazake walituharibia sana chama chetu!! sasa tunataka kuijenga upya CCM yetu.
Afu asiondoke na chenji yetu, lile fungu la kununua wabunge na madiwani wa CDM nasikia masalia kibao bado anayo.